Je, nifanye Kilimo au biashara kwa mtaji chini ya milioni 1?

Je, nifanye Kilimo au biashara kwa mtaji chini ya milioni 1?

Chanzo cha maji...?? Unamanisha ziwa, mto...au unamaana nyingine??
Kwa kifupi wewe kilimo hukijui, fanya mambo mengine kabisa uliyo na idea nayo walau utapata pa kuanzia!
 
1. Fanya kitu ambacho una ujuzi nacho ili kuepuka kujaribu.
2. Biashara huwa inachukua muda mpaka kuanza kuona faida.
3. Ijue biashara unayotaka kuifanya nje ndani ili iwe rahisi kufanya
 
Habari,

Nina millioni moja mfuko wa shati naomba mwenye kujua niifungulie shughuli gani ili isiniponyoke ndugu zangu, niko Dar.

Tafadhali msaada wa mawazo
 
Nenda Bagamoyo kanunue mzigo wa madafu uyauze kwa jumla
 
kilimo sio cha wenye hela ya mawazo kama yako hiyo
nakushauri fanya biashara
nb:isiwe biashara yakuoza
 
Msaada naweza nikapata wapi yebo yebo kwa bei ya jumla
 
Back
Top Bottom