Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 4,302 Reaction score 7,815 Oct 25, 2023 #21 Nrangoo said: Asee kilimo siyo cha kufanyia majaribio na pesa ya mawazo. Kuzika mtaji ni chap Click to expand... Afu aje kulia tena hapa hapa Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Nrangoo said: Asee kilimo siyo cha kufanyia majaribio na pesa ya mawazo. Kuzika mtaji ni chap Click to expand... Afu aje kulia tena hapa hapa Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Synod JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 4,143 Reaction score 4,180 Oct 25, 2023 #22 amate said: Chanzo cha maji...?? Unamanisha ziwa, mto...au unamaana nyingine?? Click to expand... Kwa kifupi wewe kilimo hukijui, fanya mambo mengine kabisa uliyo na idea nayo walau utapata pa kuanzia!
amate said: Chanzo cha maji...?? Unamanisha ziwa, mto...au unamaana nyingine?? Click to expand... Kwa kifupi wewe kilimo hukijui, fanya mambo mengine kabisa uliyo na idea nayo walau utapata pa kuanzia!
MrProsecutor JF-Expert Member Joined Jun 12, 2017 Posts 280 Reaction score 275 Oct 31, 2023 #23 1. Fanya kitu ambacho una ujuzi nacho ili kuepuka kujaribu. 2. Biashara huwa inachukua muda mpaka kuanza kuona faida. 3. Ijue biashara unayotaka kuifanya nje ndani ili iwe rahisi kufanya
1. Fanya kitu ambacho una ujuzi nacho ili kuepuka kujaribu. 2. Biashara huwa inachukua muda mpaka kuanza kuona faida. 3. Ijue biashara unayotaka kuifanya nje ndani ili iwe rahisi kufanya
NecZec Member Joined Jan 23, 2019 Posts 45 Reaction score 65 Feb 6, 2024 #24 Habari, Nina millioni moja mfuko wa shati naomba mwenye kujua niifungulie shughuli gani ili isiniponyoke ndugu zangu, niko Dar. Tafadhali msaada wa mawazo
Habari, Nina millioni moja mfuko wa shati naomba mwenye kujua niifungulie shughuli gani ili isiniponyoke ndugu zangu, niko Dar. Tafadhali msaada wa mawazo
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Feb 6, 2024 #25 Nenda Bagamoyo kanunue mzigo wa madafu uyauze kwa jumla
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Feb 6, 2024 #26 USILIME
Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 4,302 Reaction score 7,815 Feb 6, 2024 #27 kilimo sio cha wenye hela ya mawazo kama yako hiyo nakushauri fanya biashara nb:isiwe biashara yakuoza
kilimo sio cha wenye hela ya mawazo kama yako hiyo nakushauri fanya biashara nb:isiwe biashara yakuoza
Faka25 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2021 Posts 1,738 Reaction score 1,134 Feb 7, 2024 #28 Msaada naweza nikapata wapi yebo yebo kwa bei ya jumla