Je, nikifa leo utanikumbukwa kwa lipi?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Siyo kwamba naogopa Kifo ila hali kwa sasa ni tete inabidi tujiandae kwa lolote.

Je, nikifa leo utanikumbuka kwa lipi?

CC Zero IQ
 
Nitakukumbuka sana katika tasnia nzima ya uchakataji papuchi na umiliki wa banda la chips pamoja na historia yako ya kuumizwa na dem ambaye ulijitoa sana kwake
 
Nitakukumbuka sana katika tasnia nzima ya uchakataji papuchi na umiliki wa banda la chips pamoja na historia yako ya kuumizwa na dem ambaye ulijitoa sana kwake
Acha kabisa mkuu yule demu bado ananiuma sana aiseeee nashindwa kumsahau kabisaaa

CC Zero IQ
 
Siyo kwamba naogopa Kifo ila hali kwa sasa ni tete inabidi tujiandae kwa lolote ,

Je nikifa leo utanikumbuka kwa lipi?

CC Zero IQ
Kwa KUWA MCHAKATAJI ILA SIYO BAHARIA MANA ULIMGONGA VITASA DADA WA WATU KISA AMEKULA NA KUNYWA AKAGOMA KWENDA KUPAKULIWA.......ULIMHARIBU SURA
 
Attachments

  • Screenshot_20200501-131211.png
    107.4 KB · Views: 1
Kwa KUWA MCHAKATAJI ILA SIYO BAHARIA MANA ULIMGONGA VITASA DADA WA WATU KISA AMEKULA NA KUNYWA AKAGOMA KWENDA KUPAKULIWA.......ULIMHARIBU SURA
[emoji16][emoji16][emoji16] na sasa amebaki kuwa kumbukumbu yangu kwenye Avatar

CC Zero IQ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…