Je, nikifa leo utanikumbukwa kwa lipi?

Je, nikifa leo utanikumbukwa kwa lipi?

Kitakachoniuma ni kwamba mabaharia wenzangu nawaachaje kwenye kipindi hiki

CC Zero IQ
Maisha ni kama mbio za relay. Ukipewa kijiti unakimbiza mpaka zamu yako ikiisha unakabidhi kwa mwezako nae anapata muda wa kukimbiza kijiti.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] na sasa amebaki kuwa kumbukumbu yangu kwenye Avatar

CC Zero IQ
MKUU AFTER HICHO KIPIGO JE ALIKUBALI KUTOA GAME AU NDO UKIAMBULIA KUMZABA MAKOFI??
 
MKUU AFTER HICHO KIPIGO JE ALIKUBALI KUTOA GAME AU NDO UKIAMBULIA KUMZABA MAKOFI??
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kilichofuata ni Siri yangu

CC Zero IQ
 
Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara

Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
Back
Top Bottom