Mimi ni muhitimu wa shahada ya LOCAL GOVERNMENT ADMINISTRATION AND MANAGEMENT kutoka chuo cha serikali za mitaaa mwaka 2023
Nimekuwa nikiahangaika kuomba ajira hata sekta binafsi katika ngazi ya HR na Administration ila imekua ngumu lakini kwa ngazi ya serikali pia imekua ishu mpka leo nili bahatika kwenda interview moja tu ila huku private nimekua siitwi kbsa
Sasa katika kuuliza uliza ndio nimeambiwa niuulize je nikihitaji kusoma upya degree ya 2 ya HR au Public Administration je nitatumia miaka mi 3 tena?? Au itakua chini kwakua masomo mengi ya hizi kozi mm nimesha ya soma kwemy hii Local Government Administration and Management
Maana niligusiwa kuna kitu kama hiko naeza pata degree ya pili kwa kusoma mwaka mmoja au miwili tu,
Na alie niambia alinigusia hiyo ishu inaitwa POST GRADUATE DIPLOMA
Je, kuna ukweli katika hili naombeni msaada wenu wa mawazo juu ya haya