Je, nikimnyima tendo nitakuwa sawa?

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,130
Ni mume wangu tuna watoto
Huyu baba kazidi umalaya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini?

Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje weekend tu kuangalia watoto hataki ananyamaza kimya. Yan ukishika cm yake unaweza zimia ana wanawake karibia 5 mara aombe picha za dudu... Ukizubaa marafiki zangu anapita nao, mabinti wa kazi, yani tabu tupu.

Nilichoamua sitaki tena sex na yeye, tutatiana nikiwa natafuta mimba tu nikipata sitaki aniguse tena ninawatoto 2 bàdo 1 tu...akichoka aondoke akaoe uko angalau nipate Aman, sina rafiki, naogopa hata ndugu kukaaa kwangu, sitaki mazoea na majiran maana wakinizoea tu anawalamba...aisee kichwa kinajam
 
pole, jitahidi ukutane naye akipata magonjwa ya zinaa pia. manake unawaza mimba tu, sicheze na kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…