PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WANAUMEEE kikao cha mwisho kilisemaje.Ni mume wangu tuna watoto
Huyu baba kazidi umalaya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini?
Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje weekend tu kuangalia watoto hataki ananyamaza kimya. Yan ukishika cm yake unaweza zimia ana wanawake karibia 5 mara aombe picha za dudu... Ukizubaa marafiki zangu anapita nao, mabinti wa kazi, yani tabu tupu.
Nilichoamua sitaki tena sex na yeye, tutatiana nikiwa natafuta mimba tu nikipata sitaki aniguse tena ninawatoto 2 bàdo 1 tu...akichoka aondoke akaoe uko angalau nipate Aman, sina rafiki, naogopa hata ndugu kukaaa kwangu, sitaki mazoea na majiran maana wakinizoea tu anawalamba...aisee kichwa kinajam
Si mwache tu.Ni mume wangu tuna watoto

Ukiona hivyo mke anazingua kwahiyo mchizi kamchoka anafanya hivyo ili mwanamke aondoke lakini mke nae kaamua kukaza kichwa.Tulikubaliana men are polygamous by nature
Pia tulikubaliana chepuka ila family comes first sijaona mahali mke analalamika anakosa mahitaji yake au watoto hawapati mahitaji na bado anataka azae naye mtoto
Alipofeli mwamba sehemu moja tu ameshindwa kufanya uchepukaji wake iwe siri
Cc Kapeace
Ukiona hivyo mke anazingua kwahiyo mchizi kamchoka anafanya hivyo ili mwanamke aondoke lakini mke nae kaamua kukaza kichwa.
Pole sana mkuuNi mume wangu tuna watoto