Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Ubaya ni tecno, na ni mediatek. Mtu anaitoa frp ndani ya sekunde 3. Pia kama ni mjeuri anaweza kucheza na imei.
Ila kiujumla ni bora kutoweka lock maana akiiokota mtu anaweza kutumia kwanza na kukupa mwanya wa kuitrack.
Kuna jamaa aliibiwa infix akaipata kupitia find my device sababu haikuwa na screen lock.
Ukibadili IMEI inapoteza ushahidi wa chombo husika si ndio?Ubaya ni tecno, na ni mediatek. Mtu anaitoa frp ndani ya sekunde 3. Pia kama ni mjeuri anaweza kucheza na imei.
Ila kiujumla ni bora kutoweka lock maana akiiokota mtu anaweza kutumia kwanza na kukupa mwanya wa kuitrack.
Kuna jamaa aliibiwa infix akaipata kupitia find my device sababu haikuwa na screen lock.
Ndio maana ni kosa kisheria.Ukibadili IMEI inapoteza ushahidi wa chombo husika si ndio?
Yap ni lazima iwe on.Kwa hiyo inabidi mda wote sim iwe na location on [emoji2924]?
Upo sahihi mkuu account inatosha ila kwa cm za MediaTek MT6753 hiyo ndio chip unayoitumia cm ya mwaka 2016 patch level yake ya mwaka 2016 bila shaka aan hiyo mtu a nawez kuchez nayo had akabadl boot logo rom nk nkHabari za muda huu Tech Gurus?
natumia simu aina ya Camon 16.
Hii simu kwa kuhofia kwamba siku ikipotea nije niipate kirahisi, nimeacha kuweka Security lock, zile za Pattern, number, password ama Fingerprint.
Ina SWIPE tu. Je, niko sahihi kiusalama?
Je, siku ikipotea naweza kuipata?
Je umewahi kushuhudia kifaa cha ki electronic kwa nchi kama Tanzania kikifnyiwa uharifu ama kujitisha ukipoyeza kifaa chako Katie taarifa police na hapo unakua ushamliz kila kitu mala nyingi hizo kesi nizakubambikiwa hakuna ukweli asilimia 100Siku ukisahau simu sehemu halafu wenye nia mbaya wakaitumia kufanya uhalifu wa mtandao kwa sababu simu haipo locked, ndio utajua umuhimu wa password
Na kama nikitoa cm card ama nikazima Datta unaweza ipata kwa mbinu ganiYap ni lazima iwe on.
Kuhusu mediatek haimaanishi kua simu eti ni dhaifu hiyo chipset inatumika na kampuni nyingi sana za cm ikiwemo Samsung, redimi, oppo, xiaom na zngne nyingi tu je unaweza kutoa frp bila tool maalumu frp ya oppo ama Samsung zenye kuanzia android 10 security patch ya 2021 yaani uka bypass tu kirahisi blia kutumia authentication yeyote kam chimeraUbaya ni tecno, na ni mediatek. Mtu anaitoa frp ndani ya sekunde 3. Pia kama ni mjeuri anaweza kucheza na imei.
Ila kiujumla ni bora kutoweka lock maana akiiokota mtu anaweza kutumia kwanza na kukupa mwanya wa kuitrack.
Kuna jamaa aliibiwa infix akaipata kupitia find my device sababu haikuwa na screen lock.
Ndio maana line zote zimelokiwa kwa password atajipatiaje fedha?Sio salama na mtu anaweza jipatia pesa kupitia simu yako
Kwamba apps zina lock? Maana akikuta simu ipo On maana yake ana uwezo wa kufanya mawasiliano kwa kutumia hiyo hiyo simNdio maana line zote zimelokiwa kwa password atajipatiaje fedha?
Mkuu mtk ya tecno na infinix huwezi fananisha na samsung au oppo.Kuhusu mediatek haimaanishi kua simu eti ni dhaifu hiyo chipset inatumika na kampuni nyingi sana za cm ikiwemo Samsung, redimi, oppo, xiaom na zngne nyingi tu je unaweza kutoa frp bila tool maalumu frp ya oppo ama Samsung zenye kuanzia android 10 security patch ya 2021 yaani uka bypass tu kirahisi blia kutumia authentication yeyote kam chimera
Wabongo akiokota simu kama haina password anaweka laini yake anatumia, hawajui maswala ya location wala nini.Na kama nikitoa cm card ama nikazima Datta unaweza ipata kwa mbinu gani