je, nikweli watz tunashindwa kumiliki asilimia za hisa (hata 10) ktk uchimbaji wa mafuta na gesi?

je, nikweli watz tunashindwa kumiliki asilimia za hisa (hata 10) ktk uchimbaji wa mafuta na gesi?

mchumikachoka

Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
15
Reaction score
2
mtazamo wa viongozi wasemao hatuna uwezo wanaangalia mtu binafsi kama chanzo cha mtaji. lakini uwekezaji mkubwa unaweza kufanikiwa kuuza hisa hisa. kwa mfumo wa hisa asilimia ya wa tz wenye millions and billions wangepata share ktk uwekezaji na atimae kupata faida kulingana na asilimia za mtaji wao, na hao wawekzaji wanyonyaji toka mataifa makubwa wapate chao. Ni vema serikali ikatoa mikataba yenye masharti ya watanzania kuwa na umliki wa asilimia hata kuanzia 20 au pungufu kulinana na uwezowetu. Huo ndo utaukuwa uzalendo. kinyume na hapo sikuzote tuaugulia machungu ya kuhujumiwa na kufanya watu kuichukia serikali.
 
Back
Top Bottom