Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du Ahsante sana jamani
kwa kawaida kila halmashauri ina utaratibu wa kutuia bank moja kwa ajili ya kulipia watumishi wake mishahara! benk zinazotumika sana ni NMB kwa saana na NBC kidogo kwa baadhi ya halmashauri. sasa itategea wewe umepangwa halmashaur inayotumia benk gani: na kwa ushauri tu kama wewe ni mtumishi mpya usifungue ac yeyote coz kuna halmashaur nyingine zina kawaida ya kufungua ac mpya kwa kila mtumishi mpya so hata kama una A\C tyari watakwambia hawaitaki wanataka ufungue mpya vp upo hapo?
Nasikia harufu ya ankara!
habari zenu jamani.tafadhari kwa wale walimu wazoefu kazini.naomba mnijuze kama ni lazima kufungua bank account tawi la nmb na vipi ukifungua tawi lingine tofauti na Nmb huwa hawakubali kwa sisi walimu wapya.
NMB na NBC ni zipo chini ya Serikali, ndio maana waajiriwa/watumishi wengi wa kiserikali wana accounts huko. Nadhani umemsoma vyema mdau aliyetangulia hapo juu
Hiyo bank nisivyoipenda dah yani imenkalia kushoto kushoto !!! Dah
Nani amekwambia ziko chini ya serikali kama hujui vitu bora kukaa kimya