Je nilazima Mwalimu kufungua account NMB?

ladytk

Senior Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
163
Reaction score
45
habari zenu jamani.tafadhari kwa wale walimu wazoefu kazini.naomba mnijuze kama ni lazima kufungua bank account tawi la nmb na vipi ukifungua tawi lingine tofauti na Nmb huwa hawakubali kwa sisi walimu wapya.
 
kwa kawaida kila halmashauri ina utaratibu wa kutuia bank moja kwa ajili ya kulipia watumishi wake mishahara! benk zinazotumika sana ni NMB kwa saana na NBC kidogo kwa baadhi ya halmashauri. sasa itategea wewe umepangwa halmashaur inayotumia benk gani: na kwa ushauri tu kama wewe ni mtumishi mpya usifungue ac yeyote coz kuna halmashaur nyingine zina kawaida ya kufungua ac mpya kwa kila mtumishi mpya so hata kama una A\C tyari watakwambia hawaitaki wanataka ufungue mpya vp upo hapo?
 
Ahsante kwa ushauri wako
 
NMB na NBC ni zipo chini ya Serikali, ndio maana waajiriwa/watumishi wengi wa kiserikali wana accounts huko. Nadhani umemsoma vyema mdau aliyetangulia hapo juu
 
habari zenu jamani.tafadhari kwa wale walimu wazoefu kazini.naomba mnijuze kama ni lazima kufungua bank account tawi la nmb na vipi ukifungua tawi lingine tofauti na Nmb huwa hawakubali kwa sisi walimu wapya.

Ni lazima mwenzangu,huu wetu ni WITO sio AJIRA

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hiyo bank nisivyoipenda dah yani imenkalia kushoto kushoto !!! Dah
 
NMB na NBC ni zipo chini ya Serikali, ndio maana waajiriwa/watumishi wengi wa kiserikali wana accounts huko. Nadhani umemsoma vyema mdau aliyetangulia hapo juu

Nani amekwambia ziko chini ya serikali kama hujui vitu bora kukaa kimya
 
Hiyo bank nisivyoipenda dah yani imenkalia kushoto kushoto !!! Dah

Pole sana maana kwa mshahara wa mwalimu na ukawekwa kijijini mshahara wako unaweza kuishia kwenye nauli za kufuata hizo benki huko mijini
 
Hazina inaweka hela kwa kupitia nmb. Hulazimiki kuweka hela nmb, ila ukiweka hela kwenye account nyingine kuna hasara kadhaa:
1 bank charges zinakuwa kubwa zaidi, na hako kasungura kenyewe sasa!

2 utachelewa sana kupata mshahara kwa sababu kuprocess bank tafauti inachukua muda zaidi.

3 hukawii kusahaulika. Mshahara wa siku hizi una process ndefu, ikisahaulika ujue tarehe 40 itakuhusu.

wekeni tu nmb. Kwanza zile kero na foleni zinakusaidia kusave tusenti twako.
hongereni waalimu wapya. Kazi yenu ni ya heshima sana.
 
Nawapangisha foleni kama benk ya--- mimi nimesoma PCM na wala sio PCB, so hata tufungwe mimi ni Arsenal sio MAN U, Kibonde wewe ni memba wa loan board au TCU? Roma bwana he is creative. NMB there is unnecessary que que.
 
Sio lazima ila ukifungua kwingine mshahara utachelewa
 
Back
Top Bottom