Cha ajabu zaidi, hata kabla hatujamaliza mgogoro wetu, tayari akaanza kuniambia anahitaji sh.10,000. Aliniboa vby!
Sasa mkuu mke wa mtu ni wa nini?
After all takwimu zinaonyesha kuwa idadi kubwa ya binadamu ni Wanawake.
khaaaaaaa, kweli waht makes a man ni maamuzi yake, yaani katika issue ndogo hivo unashindwa kuamua, asa siku mkeo akikwambia watoto wawili wa kwanza sio wako?
Golddiger wa 10,000. . .???!
Acha weeee!!
Demu??. . .mke wa mtu?
Tafuta mwanamke tu uepuke shari na matatizo.
then do the same now...piga chiniwallah namchomoa filigisi!