Je, nimekosea kummwaga?

Je, nimekosea kummwaga?

khaaaaaaa, kweli waht makes a man ni maamuzi yake, yaani katika issue ndogo hivo unashindwa kuamua, asa siku mkeo akikwambia watoto wawili wa kwanza sio wako?
 
Sasa mkuu mke wa mtu ni wa nini?
After all takwimu zinaonyesha kuwa idadi kubwa ya binadamu ni Wanawake.

Ukweli si mke wa mtu. Ila huyo mwanaume alitumia trick hiyo kunitisha kwenye simu ili nimuache, na kweli sina mpango tena maana nimejua demu kicheche!
 
khaaaaaaa, kweli waht makes a man ni maamuzi yake, yaani katika issue ndogo hivo unashindwa kuamua, asa siku mkeo akikwambia watoto wawili wa kwanza sio wako?

wallah namchomoa filigisi!
 
Moyoni Mwako Una AMANI???????

Au unajihukumu kwa kukurupuka?????

Wewe ni MSAFI SANAkiasi cha kutoa hiyo hukumu?????/

Sema na Moyo wako Majibu unayo
 
sasa unasita nini wakati ushayaona manyoya!!!!!!!. piga chini mkuu.
 
changanya na zako mkuu au mpka umkute kitandani anashughulikiwa ndio uamini...TUPA KULE
 
Wapo tele wasokua na waume ebu wastiri Huyo tena basi....
 
Back
Top Bottom