Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Nakushauri Dala.... tumia lugha nzuri yenye diplomasia kwa ndg zako... kama hutaki kusaidia. tafuta sbb ya kueleweka ili waridhie.. usikatae ili mradi tu.. kuwa muungwana na mpole.Kipato kwa kweli nashukuru ninacho cha kunitosha kununua mboga tatizo historia inanisumbua sana
Hakuna!! Asamehe hiyo vipi? Kwenye kukata hiyo migogo ili apate ada angeshuka mshipa wangemsaidia hata matibabu? Vipi km angepata tb au ulemavu wowote? Angeishia kuwa chokoraa au kibaka au teja kutokana na kutengwa na kudharauliwa ingekuwaje?Kama una kipato cha kutosha cha kuweza kuwasaidia we Sadia tu. Hii Dunia tunapita we samehe naamini Mungu amekupitisha ktk changamoto zote hizo ndo maana Leo umekuwa ivo.
Fuata nafsi yako. Nafsi ya mtu is always right. Hata ukiwasaidia vipi hawatakaa wakushukuru. Dalili za mvua mawingu. Ulishayaona mawingu kipindi cha nyuma. Endeleza familia yako. Ikiwezekana hamia mbali kabisa!!Tatizo nafsi inagoma kabisa.
Mzee nimepigana hasa. Buguruni niliishi kwenye chumba cha 8,000/= na hapo nikaishia kutimuliwa baada ya kodi kunishinda. Leo nakula bata ulaya wote waliyonidharau wanajileta. Kwa kweli nimekataaHakuna!! Asamehe hiyo vipi? Kwenye kukata hiyo migogo ili apate ada angeshuka mshipa wangemsaidia hata matibabu? Vipi km angepata tb au ulemavu wowote? Angeishia kuwa chokoraa au kibaka au teja kutokana na kutengwa na kudharauliwa ingekuwaje?...
Nakushauri Dala.... tumia lugha nzuri yenye diplomasia kwa ndg zako... kama hutaki kusaidia. tafuta sbb ya kueleweka ili waridhie.. usikatae ili mradi tu.. kuwa muungwana na mpole.
Mkuu vijembe vyako si vya nchi hii!!! Kwa wabongo hawatochelewa kukupiga kipapai.Hakuna!! Asamehe hiyo vipi? Kwenye kukata hiyo migogo ili apate ada angeshuka mshipa wangemsaidia hata matibabu? Vipi km angepata tb au ulemavu wowote? Angeishia kuwa chokoraa au kibaka au teja kutokana na kutengwa na kudharauliwa ingekuwaje? ...
Watu wabaya yao achana nao walitamani ufe tu ila Mungu sio Asuman,Nawasalimu nyote!
Moja kwa moja kwenye mada, historia yangu ina changamoto nyingi. Naamini kila mmoja ana changamoto yake. Kwa kifupi ni kwamba nimezaliwa kwenye familia ya wake wawili...
Tatizo nafsi inagoma kabisa.
Mkuu kuna muda hakuna namna zaidi ya kujitua kabla hawajakutua,ndugu lawama.Hakuna namna
Fuata moyo wako unavokuambia, ila zaidi uwe mtu wa kusali sana, maana wanaweza kukuzingua na mambo yao ya kiswahili sababu tu wewe umefanikiwa zaidi.Nawasalimu nyote!
Moja kwa moja kwenye mada, historia yangu ina changamoto nyingi. Naamini kila mmoja ana changamoto yake. Kwa kifupi ni kwamba nimezaliwa kwenye familia ya wake wawili...
Usithubutu kuwa nao karibu, watakuroga hao. Wapotezee kabisa, wala siyo dhambi. Ni afadhali ukawasaidie familia ya mama yako.Najitahidi kujiweka mbali kidogo nao pia