Namba ya Shemeji wa Kisambaa uliyeachana nae tafadhaliNawasalimu nyote!
Moja kwa moja kwenye mada, historia yangu ina changamoto nyingi. Naamini kila mmoja ana changamoto yake. Kwa kifupi ni kwamba nimezaliwa kwenye familia ya wake wawili...
Tunafanana kidogo kihistoriaNawasalimu nyote!
Moja kwa moja kwenye mada, historia yangu ina changamoto nyingi. Naamini kila mmoja ana changamoto yake. Kwa kifupi ni kwamba nimezaliwa kwenye familia ya wake wawili...
Kuunga undugu ni sababu ya kuongezeka kwa rizki kama ipo ndani ya uwezo wako fanya kwa ajili ya mwenyezi Mungu na si mwanadamu. Malipo utayakuta mbele.Nawasalimu nyote!
Moja kwa moja kwenye mada, historia yangu ina changamoto nyingi. Naamini kila mmoja ana changamoto yake. Kwa kifupi ni kwamba nimezaliwa kwenye familia ya wake wawili...
duuuuuuuuuh! Nimecheka kwa sauti, kwa upande wangu namshauri mtoa mada awe mbali mnoo na hao nduguzake(wafitini)Hakuna!! Asamehe hiyo vipi? Kwenye kukata hiyo migogo ili apate ada angeshuka mshipa wangemsaidia hata matibabu? Vipi km angepata tb au ulemavu wowote? Angeishia kuwa chokoraa au kibaka au teja kutokana na kutengwa na kudharauliwa ingekuwaje?
Mbona mnapenda kujazana unyonge bila sababu za msingi? Kwa kukushauri tu, mleta uzi, wanunulie smart 4n ndugu zako wote bila kumsahau baba ako, kisha anzisha group la whatsp, waunge wote, thereafter, anza kula bata huku unapiga picha na kuzitupia kwa group kila siku!
Hata ukiweza nenda viwanja vikubwa km mahoteli makubwa, piga picha ondoka, kawapostie, wakijileta tu unawapa kubwa, unawachana live bila chenga! Bila kusahau kutupia status za vijembe kwa baba ako, anza na hizi chache:
Uliookota nae kuni ndie utaota nae moto.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Mama yangu ndio kila kitu kwenye maisha yangu.
Mtu mwenye kitu, asie na kitu kinyama cha mwitu.
Kikulacho ki nguoni mwako.
Mchawi ndugu, paka katumwa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna!! Asamehe hiyo vipi? Kwenye kukata hiyo migogo ili apate ada angeshuka mshipa wangemsaidia hata matibabu? Vipi km angepata tb au ulemavu wowote? Angeishia kuwa chokoraa au kibaka au teja kutokana na kutengwa na kudharauliwa ingekuwaje?
Mbona mnapenda kujazana unyonge bila sababu za msingi? Kwa kukushauri tu, mleta uzi, wanunulie smart 4n ndugu zako wote bila kumsahau baba ako, kisha anzisha group la whatsp, waunge wote, thereafter, anza kula bata huku unapiga picha na kuzitupia kwa group kila siku!
Hata ukiweza nenda viwanja vikubwa km mahoteli makubwa, piga picha ondoka, kawapostie, wakijileta tu unawapa kubwa, unawachana live bila chenga! Bila kusahau kutupia status za vijembe kwa baba ako, anza na hizi chache:
Uliookota nae kuni ndie utaota nae moto.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Mama yangu ndio kila kitu kwenye maisha yangu.
Mtu mwenye kitu, asie na kitu kinyama cha mwitu.
Kikulacho ki nguoni mwako.
Mchawi ndugu, paka katumwa tu.
Mkuu acha kuwasaidia hao nia yao uanguke tn wakucheke na kama nafsi haitaki acha kabisa ndugu yngu... Wangekuwa bado wapo kileleni wangrkutafuta?!! Jiulize swali dogo hilo tuu!! Wasingekutafuta na dharau zingezidi mnoo!! Kausha achana naoTatizo nafsi inagoma kabisa.
Mkuu acha kuwasaidia hao nia yao uanguke tn wakucheke na kama nafsi haitaki acha kabisa ndugu yngu... Wangekuwa bado wapo kileleni wangrkutafuta?!! Jiulize swali dogo hilo tuu!! Wasingekutafuta na dharau zingezidi mnoo!! Kausha achana nao
uko sahihi...unasema roho inagoma...ingegoma kibabe,,,,hata hapa usingekuja kuomba ushari broo....umezaliwa MWANAUME....ni nduguzo...walishakuvuruga mno.....ila ile fujo ndio ulikuwa upenyo ukafika hapo....ni DAMU yako...UNDUGU hauombwi blaza....jitathmini vema,,,ongea na MKEO...........hao unawasaidia kwa MKATABA.....draft a simple family agreement.....nakupa huu mkopo na unalipa kwa riba.....umemaliza ....akianguka huko hawezi rudi......MUNGU alikupitisha huko ili uje UWABEBE..........YUSUFU aliuzwa na nduguze wa DAMU......na yeye ndio aliewakoa na BAA LA NJAA......tchaooos...
Tunafanana kidogo kihistoria
Mtu anayeguswa na shida na tabu yako na kukupenda wakati wa shida ndiye anayekupenda KWELI.
Huyo anayekupenda sasahivi ni anakupenda kwasababu ya kitu flani sio kutoka moyoni...na akifanikiwa ndio basi tena
Nakushauri kuwa jenga uchumi wako, deal na mambo yako
Unaweza kuwasaidia na bado wakaendelea kukusema kimya kimya na ikitokea ukafulia wao wakapanda kiuchumi UTAKOMA
Waweza ongezea kuwa gari naliuza haliuziki nimeteremsha bei hakuna mteja !!! HahahaNdivyo nilivyofanya. Nimemwambia Mzee nina ukata mbaya kwa sasa akanielewa. Nimempa na ushahidi maana nina miradi yangu nimewekeza hela wiki mbili zilizopita akanielewa.
Dada hathubutu hata kunitafuta moja kwa moja