Je, nimetenda dhambi?

Hapana sipo hapa ku justify things which are unjustifiable.

Labda nikuulize kula nyama ya wanyama wasio na kwato ni dhambi au?
Unaongea vitu vya Agano.

Mungu aliweka Agano na Ibrahimu , na kwa kuwa alikuwa na wazawa ambao ni Israeli, Agano hilo lilithibitishwa kwa damu ya wanyama ikiwa na sheria hizo ambazo Wayahudi walipaswa kufata Ili kubuild connection na Mungu aliye Mtakatifu.

Agano Jipya ni tofauti kidogo, hili liliwekwa na damu ya Yesu Kristo, huku sheria zake ni za kiroho na Utakatifu na ikathibitishwa na kuja kwa Roho Mtakatifu. Roho Mtakatifu ndo anamsaidia Mkristo kupambanua yaliyo mema na mabaya , na Kwa uongozi wa Roho Mtakatifu, waliandika kuwa nyama pekee inayokatazwa kuliwa ni ile ambayo Ina damu, maana yake mnyama hauliwi Kwa kuchinja ila Kwa kupigwa, hii hufanya damu igande.
 
Tafsiri ya neno dhambi, ni uasi mtu afanyao kinyume na amri za Mungu...

Maandiko ya imani za dini tofauti yameeleza amri za Mungu, iwe ni Wakristo, Waislam, Wahindu n.k
 
nadharia ya kuwepo kwa muumbaji sijaikataa, hawa miungu wa binadamu(yahweh, allah nk) ndo nawakataa
What if akatokea mtu akataja siri zako zote alafu mwisho akasema, yeye ni mtumishi wa Yahweh utafanyaje?

Kwanini usiamue wewe mwenyewe kupiga magoti ukaomba enlightenment Kwa designer of the Universe, ila ukweli nakupa, Imani yangu ni kwamba Mungu wa Biblia ndo designer mwenyewe.
 
Umelelewa kwenye maadali ya Kikristo halafu hujui dhambi nini? Kuwa serious bro.
 
akitokea huyo mtu ntaokoka haraka sana

wewe unavomuamini wa bibilia, kuna mwingine anamuamini wake tofauti, kafundishwa tokea utoto

je, ukifa ukamkuta allah badala ya yahweh si unaenda motoni? umewahi fikiria hilo?
 
Wengine tunajua tukishafanya dhambi ..

Mioyo inatusuta, amani inatoweka...

Tunaomba Toba na rehema haraka tunakuwa sawa tena...

Asante Roho Mtakatifu kwa kutusaidia kujua ..

Bwana YESU atukuzwe
 
Coz kila dini inampa Mungu sifa hii
 
akitokea huyo mtu ntaokoka haraka sana

wewe unavomuamini wa bibilia, kuna mwingine anamuamini wake tofauti, kafundishwa tokea utoto

je, ukifa ukamkuta allah badala ya yahweh si unaenda motoni? umewahi fikiria hilo?
Yeah niliwahi fikiria hili, this is my intake.
2019 nilijitangaza kuwa atheist na akili yangu iliamua kukubali kuwa inawezekana Mungu hayupo na Yesu pia hayupo.

Cha ajabu usiku wa manane , niliona vitu vya ajabu, I was taken by an angelic being to paradise, I saw that man, the man who I thought he didn't exist, hafanani na hawa wakina Brian Deacon, he was just smiling at me, sikuamini nachokiona. Hapo nikawaza , inawezekana Ukristo ndo njia sahihi sema tu Kuna manipulations za adui kukutoa kwenye reli.

2020 nilipigwa na tukio ambalo ilinifanya niache atheism.
 
akitokea huyo mtu ntaokoka haraka sana

wewe unavomuamini wa bibilia, kuna mwingine anamuamini wake tofauti, kafundishwa tokea utoto

je, ukifa ukamkuta allah badala ya yahweh si unaenda motoni? umewahi fikiria hilo?
Katika tukio Hilo, nilipelekwa kwa mashehe but nothing happened, I decided to return to this man, Jesus, and everything was solved.

That Jesus is real.
 
Hakikisha huvunji amri kumi za Mungu

  1. Mimi ni Bwana Mungu wako Usiwe na Miungu mingine
  2. Ikumbuke siku ya Bwana(Sabato) na uitakase
  3. Usimshuhudie jirani yako Uongo
  4. Waheshimu Baba na Mama yako
  5. Usiue
  6. Usizini
  7. Usiseme Uongo
  8. Usitamani Mali ya Jirani yako, wala ng'ombe wake wala Chochote alichonacho
  9. .....
  10. ....
Dhambi ni nyingi, ila ukiomba Neema yake utazishinda
 
Cha ajabu usiku wa manane , niliona vitu vya ajabu, I was taken by an angelic being to paradise, I saw that man, the man who I thought he didn't exist, hafanani na hawa wakina Brian Deacon, he was just smiling at me, sikuamini nachokiona.
siwezi kubishana na hili, hata nilivoanza kuacha kuamini kuna vingi nilikua siwezi kuvifafanua, lakini mpaka sasa kuna vingi kati ya hivyo nimeweza kufafanua....

tatizo kuna vitu siwezi kuvipuuzia mfano kwanini kuna dini nyingi?, the paradox of gratuitous evil, historia ya dini... na mengine mengi
 
Sawa...hizo ni imaginations delusions na hallucinations zako ingekuwa Christianity is true bac watu wote wangeona mauza uza Kama yako..Ila kila mtu ana ghost story zake according to wat amekua conditioned to believe so plz tusitishane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…