mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
ushahidi wa kuwepo kwa Mungu haujaniridhishaKwa kweli , what made you become an atheist?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ushahidi wa kuwepo kwa Mungu haujaniridhishaKwa kweli , what made you become an atheist?
So unadhani cosmos imejitengeneza yenyewe?ushahidi wa kuwepo kwa Mungu haujaniridhisha
😀😀😀😀😀uko sahihi pia. We don’t just assume things.ushahidi wa kuwepo kwa Mungu haujaniridhisha
Inashangaza.Dogo kalewa jagwamasta huyo.
nadharia ya kuwepo kwa muumbaji sijaikataa, hawa miungu wa binadamu(yahweh, allah nk) ndo nawakataaSo unadhani cosmos imejitengeneza yenyewe?
Unaongea vitu vya Agano.Hapana sipo hapa ku justify things which are unjustifiable.
Labda nikuulize kula nyama ya wanyama wasio na kwato ni dhambi au?
What if akatokea mtu akataja siri zako zote alafu mwisho akasema, yeye ni mtumishi wa Yahweh utafanyaje?nadharia ya kuwepo kwa muumbaji sijaikataa, hawa miungu wa binadamu(yahweh, allah nk) ndo nawakataa
Umelelewa kwenye maadali ya Kikristo halafu hujui dhambi nini? Kuwa serious bro.Nianze kwa ku kiri kuwa nimelelewa kwenye maadili ya kikristu lakini pia nimebahatika kuishi maeneo ambapo Waislam ni wengi. Tukiwa wadogo wazazi wetu walituruhusu tuhudhurie Madrasa. Watoto wengi hapo mtaani kwetu walitoka familia za Kiislam.
Katika harakati zangu za kijipanga kupambana na Dhambi ili niweze kuishi vizuri hapa duniani na hatimaye kuyarithi makao huko mbinguni, najiuliza dhambi ni nini? Je dhambi ina sifa zipi?
Kwa nini nauliza haya maswali? Ukweli ni kwamba kutokana na kusikia mahubiri tofauti tofauti kuhusu dhambi imebidi mimi nitake kufahamu dhambi ni kitu gani na Je tunaweza kuainisha sifa za dhambi ambazo zitakuwa Universal ili kuondoa mkanganyiko kwa wanadamu na hivyo kutusaidia kuziepuka?
Mfano ni swala la pombe. Hii ni HARAMU kwa baadhi ya dini, halali kwa baadhi.
Kuoa wake wengi
Kula aina fulani ya nyama kutoka kwa wanyama fulani,
Mimi nafikiri tukiweza kuainisha dhambi itatusaidia kuwa na usawaziko na kuenenda katika njia zinazompendeza Muumba wetu.
akitokea huyo mtu ntaokoka haraka sanaWhat if akatokea mtu akataja siri zako zote alafu mwisho akasema, yeye ni mtumishi wa Yahweh utafanyaje?
Kwanini usiamue wewe mwenyewe kupiga magoti ukaomba enlightenment Kwa designer of the Universe, ila ukweli nakupa, Imani yangu ni kwamba Mungu wa Biblia ndo designer mwenyewe.
Mungu kajitengeneza?So unadhani cosmos imejitengeneza yenyewe?
Coz kila dini inampa Mungu sifa hiiWhat if akatokea mtu akataja siri zako zote alafu mwisho akasema, yeye ni mtumishi wa Yahweh utafanyaje?
Kwanini usiamue wewe mwenyewe kupiga magoti ukaomba enlightenment Kwa designer of the Universe, ila ukweli nakupa, Imani yangu ni kwamba Mungu wa Biblia ndo designer mwenyewe.
Yeah niliwahi fikiria hili, this is my intake.akitokea huyo mtu ntaokoka haraka sana
wewe unavomuamini wa bibilia, kuna mwingine anamuamini wake tofauti, kafundishwa tokea utoto
je, ukifa ukamkuta allah badala ya yahweh si unaenda motoni? umewahi fikiria hilo?
Katika tukio Hilo, nilipelekwa kwa mashehe but nothing happened, I decided to return to this man, Jesus, and everything was solved.akitokea huyo mtu ntaokoka haraka sana
wewe unavomuamini wa bibilia, kuna mwingine anamuamini wake tofauti, kafundishwa tokea utoto
je, ukifa ukamkuta allah badala ya yahweh si unaenda motoni? umewahi fikiria hilo?
Nasikia furaha sana kuona tupo wengi tunaomjua YESU aliye hai ..Katika tukio Hilo, nilipelekwa kwa mashehe but nothing happened, I decided to return to this man, Jesus, and everything was solved.
That Jesus is real.
siwezi kubishana na hili, hata nilivoanza kuacha kuamini kuna vingi nilikua siwezi kuvifafanua, lakini mpaka sasa kuna vingi kati ya hivyo nimeweza kufafanua....Cha ajabu usiku wa manane , niliona vitu vya ajabu, I was taken by an angelic being to paradise, I saw that man, the man who I thought he didn't exist, hafanani na hawa wakina Brian Deacon, he was just smiling at me, sikuamini nachokiona.
Sawa...hizo ni imaginations delusions na hallucinations zako ingekuwa Christianity is true bac watu wote wangeona mauza uza Kama yako..Ila kila mtu ana ghost story zake according to wat amekua conditioned to believe so plz tusitishaneYeah niliwahi fikiria hili, this is my intake.
2019 nilijitangaza kuwa atheist na akili yangu iliamua kukubali kuwa inawezekana Mungu hayupo na Yesu pia hayupo.
Cha ajabu usiku wa manane , niliona vitu vya ajabu, I was taken by an angelic being to paradise, I saw that man, the man who I thought he didn't exist, hafanani na hawa wakina Brian Deacon, he was just smiling at me, sikuamini nachokiona. Hapo nikawaza , inawezekana Ukristo ndo njia sahihi sema tu Kuna manipulations za adui kukutoa kwenye reli.
2020 nilipigwa na tukio ambalo ilinifanya niache atheism.