Je, nimtonye mteja kuwa amepigwa na fundi ama nikae kimya?

Je, nimtonye mteja kuwa amepigwa na fundi ama nikae kimya?

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Kuna fundi kaja hapa kisha akampa Mteja nionge nae mteja akasema nimpe mahitaji anayo taka kisha nimtumie bili zote

Nondo pis 28 fundi aka chukuwa 14 tu
Binding ware 10 fundi kachukuwa tatu
Mifuko 20 Y cement fundi kachukuwa 10 tu

Nimeingiwa huruma sana kwani mteja anapigwa mno na ukizingatia kwa sasa upatikanaji wa pesa imekuwa kwa mbinde mno

Nataka nimueleza mteja kijanja ila nimekosa namna ya kumuazia na ripoti ya leo, pia nina wasiwasi huenda wananitega pia wanizukumizie kesi ya uhujumu uchumi nina wasi wasi kweli kweli

Pia nawaza fundi akijuwakuwanimewauza je akinifanyia umafya itakuwaje

Naomba mnipe mbinu ya kufanya wakuu mteja atanilipa Leo ama kesho
 
Ukisema utakua snitch .kua mafia uyu fundi akupe cha juu mgawane asali
 
Back
Top Bottom