Je, nimwache aje au nipige chini?

Je, nimwache aje au nipige chini?

Kwa umri wake kwanza nimeshagaa kuwa eti anajua kubageni ,ndo mara ya kwanza leo namwita geto japo juzi nilimpa 5000 hata bila kuniomba leo namwita tuonane nashanga hizo sms nikaunganae ,yani kuku kwa mchele
kama unasema hukua na nia, binti aongezewe dau
 
Ukiona una mahusiano ya namna hiyo jua huyo mwanadada anakudharau kinoma noma aiseeee..

Mbona ana command hivo
 
Mkuu una dili na machangu?
Hapana,binti ni mgeni tena bado kanona skujua kajifunzia wapi hayo,kwanza tangu aingie mitaa yetu sjawahi kumwona kidume yoyote alie karbu maana yupo serious mno ,kutoka na kaofis kangu kana tinted na kila jinsia ikingia na kutoka bila wasi maana ni huduma mhim katika jamii,nilikaita kakaingia ndo nikakaimba then nikakapa 5 kakaenda ,siku nakaitw kaje ofsini ndo kakanijibu hivyo
 
Back
Top Bottom