Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 1,113
Habari za majukumu wana JF!
naomba msaada wa kisheria nini hasa cha kufanya.
Jana mida ya saa tano asubuhi, nilipokea sms kutoka vodacom ikiniambia kwamba kuna jambo kubwa sana la kisoka litatokea kesho (yani leo), mechi ya simba na plateau united watacheza.
niliiamini sana hio sms ya vodacom nikijua haitakua na udanganyifu wala shaka yoyote. kumbe ni uongo mtupu nimekosa mechi muhimu sana wakuu.
Nahitaji kwenda mahakamani kushtaki nidai fidia juu ya huu udanganyifu.
naomba maoni yako nifanyeje ili nishinde kesi