Wakuu kuna mambo yasio elezeka yanayoendelea maishani mwangu, hadi kuchukua uamuzi huu, aiseee, basi tu, wakuu.
Hali ni ngumu katika duka langu na naipenda familia yangu, naona kabisa nitashindwa kui-provide for.
Nataka nicheck upande wa pili, ila nahofia maeneno ya watu kuwa naweza kupata shida kwa baadae kutokana na msaada wa kiganga.