Je, ninaweza kuathirika negatively bila kujua kama nitaenda kwa mganga kupata msaada wa kuboost biashara yangu? Naombeni ushauri wakuu

Je, ninaweza kuathirika negatively bila kujua kama nitaenda kwa mganga kupata msaada wa kuboost biashara yangu? Naombeni ushauri wakuu

Joined
Nov 3, 2022
Posts
74
Reaction score
146
Wakuu kuna mambo yasio elezeka yanayoendelea maishani mwangu, hadi kuchukua uamuzi huu, aiseee, basi tu, wakuu.

Hali ni ngumu katika duka langu na naipenda familia yangu, naona kabisa nitashindwa kui-provide for.

Nataka nicheck upande wa pili, ila nahofia maeneno ya watu kuwa naweza kupata shida kwa baadae kutokana na msaada wa kiganga.
 
Ongeza mtaji dukani,huko kwa mganga wanaenda kukukula hela zako bure. Mtangulize Mungu kwa kuikataa hiyo roho inayokuandama ukianzia na mawazo yako mwenyewe.
 
Jaribu kurekebisha kwanza kasoro ulizokuwa nazo kwenye biashara yako. Huo ndio ushauri wang kwako.

20241101_234833.jpg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom