Je, ninaweza kujenga nyumba kwa milioni 25?

Je, ninaweza kujenga nyumba kwa milioni 25?

Kijana 21

New Member
Joined
Dec 1, 2020
Posts
2
Reaction score
10
Habari,

Me kijana wa miaka 21 naomba kuuliza nikiwa na Million 25 naweza kujenga nyumba au kijumba cha ukubwa gani?

Msaada please

Ahsanteni.
 
Habari,

Me kijana wa miaka 21 naomba kuuliza nikiwa na Million 25 naweza kujenga nyumba au kijumba cha ukubwa gani?

Msaada please

Ahsanteni.
Ikiwa na gari la kubeba mizigo. Unaweza, sana tu. Nyumba isiyokuwa na mbwembwe
 
Habari,

Me kijana wa miaka 21 naomba kuuliza nikiwa na Million 25 naweza kujenga nyumba au kijumba cha ukubwa gani?

Msaada please

Ahsanteni.
Kaka unaweza KUJENGA nyumba nzuri tena ya maana, kikubwa uwe na mtaalam mshauri wa ujenzi.

Pia, UVIMO tunatoa ushauri na kujenga, ukiwa umejiandaa vema tunakukabidhi nyumba ikiwa tayari kuishi.
Kwa maana ya :

UVIMO,
1-Tunajenga
2-Tunapiga lipu
3-Kuskim
4-Rangi
5-Bandaring na kufunga bodi
6-Milango ,madirisha na magril
7-Kupaua
8-Kuweka tiles
9-Wayaring za umeme.
10-Chemba za vyoo
11-USHAURI WA KILA KITU KUHUSU NYUMBA.

Wasiliana nasi kwa
0629361896
 
Tunapatikana Morogoro.
 
Inawezekana kabisa Kama wewe mwenyewe ukiwa fundi

Kuna gharama zingine Ni za kuzipunguza endapo unao uwezo wa kufanya

Mfano vibarua wa fundi unatoa hesabu zao unaingie wewe kumsaidia fundi

Maji maji na usafiri ukiweza maintain utaokoa gharama
 
Inaweza kutosha au isitoshe kulingana na haya yafuatayo
  • unataka nyumba ya aina gani
  • kiwanja kipo eneo gani
  • mafundi utaowatumia
 
Inajenga mkuu itategemea na eneo na aina ya nyumba unayotaka kujenga.
 
Back
Top Bottom