Je, ninaweza kujenga nyumba kwa milioni 25?

Je, ninaweza kujenga nyumba kwa milioni 25?

Habari,

Me kijana wa miaka 21 naomba kuuliza nikiwa na Million 25 naweza kujenga nyumba au kijumba cha ukubwa gani?

Msaada please

Ahsanteni.
Anza kazi utakatishwa tamaa.unataka nyumba ukubwa gani? Anza na msingi ukiona vipi endelea na nyumba vichache with time utajikuta umemaliza.usikae ukizitolea mimacho hizo hela amina akizipitia huna bahati!!!
 
Ujue ujenzi unatafsri ngumu mpaka unatoa gharama zajumla kuna mambo mengi kunamtu amejenga kwahela hiyo nyumba yavyumba hata vitano mtu kama huyo ukimwambia hela hiyo ni ndogo mtabishana mpaka jogoo awike kuna vitu vichache ndivo vinaweza kuamua thamani ya nyumba kwanza ni fundi mwenyewe wakiwango gani mnaosema fundinifundi hatuwezi kuwakatalia kwakuwa pesa ni zenu ubora wa vifaa na idadi yake haya yote yanaupana wake kuyaelezea hapa kutakucha tunasema hivi kuna watu inawasaidia tusitiane moyo kwenye mambo magumu nawala sinasababu yakuwatisha mliofikia hatua yakujenga acheni kufanya ghali kuwa rahisi
 
Back
Top Bottom