Je ninaweza kurudi chuo baada ya kuacha bila taarifa yoyote

Tatizo langu sio kuacha chuo akajaribu means nyingine ya kutoka. Tatizo langu ni kuacha chuo bila utaratibu. Hivi umeshawahinkukutana na mtu ambae hajawahi kuaccomplish anything? Kila anachofanya hamalizi tukasema kashindwa ama kaweza. Angeandika barua hapo ku-postpone hiyo ada aliyolipiwa, muda akiosoma kidogo na hata course work ingebakia nae!

Si bora yeye kaenda kujaribu biashara. Kuna walioenda kujaribu ndoa na akibuma ama akiona haja ya kujiongeza anarudi na kuanza upya.
 
Kweli mkuu kapata experience,... anajua nini maana ya faida na hasara halafu huwezi kugoma shule kirahisi. Jitahidi urudi mambo yatakua bomba tu masomo yote 'pata' tupu.
 
Afu weeh Kiranga mambo ya kunipa label i will shoot you! Mi namkemea asirudie uzembe bwana. Afu vyo siku hizi wanadahiliwa na tcu. Kwa hiyo haijalishi alikuwa wapi kabla hajajidropisha.
 
Last edited by a moderator:
Nashindwa kukushauri kwa umakini kutokana na ID unayoitumia... Naona yatajirudia yaleyale.
 
Umaskini wetu tu, watu wenye system zao washafikiria kwamba kuna mtu anaweza kwenda likizo kuangalia Persian ruins akadakwa na serikali ya Iran na kufungwa miaka.

Alikuwa hana hata muda wa kuandika barua chuoni.

Na kuna process ya kum-readmit back, kumpa credit zake, na hata kwenye darasa linaloweza kuhusika akatoa experience yake ya jela za Iran.

Watu weeeeee.

Bongo tu elimu ya juu almasi. Kuwa readmitted mpaka uje na kimemo cha mkuu wa mkoa.

Afu usiombe we CHADEMA na mkuu wa mkoa awe CCM rohostoki ka Mulongo na dean of admission umemkuta kakaa King'asti.

Utarudi kubangaiza biashara kabla hata ya kutoa neno moja.
 
(TEKU)
mkuu ni CHUO CHA .TEOFILO KISANJI (TEKU) MBEYA
 
Kweli mkuu kapata experience,... anajua nini maana ya faida na hasara halafu huwezi kugoma shule kirahisi. Jitahidi urudi mambo yatakua bomba tu masomo yote 'pata' tupu.

thanx mkuu,
 
jf mpo ju sana napata skills tofaut hapo,yote nayafanyia kaz
 
Kama ana a good explanation why mbona inawezekana kuwa re-admitted tu? Kuna mkaka alikuwa anakaa simanjiro enzi hizo hakuna umeme wala magazeti. Baada ya mgomo chuo na kufukuzwa kwa miezi 3, akachoka hata kufuatilia matangazo. Alikaa home kama 6 months hivi anashtuka wenzie walisharudi chuo na kumaliza semester. Alienda kujieleza tu situation, wakamrudisha the following year.

Huyu wasiwasi wangu ni kuwa hakuwa na sababu nzuri ya kusepa. Na hicho chuo chake hata documentation ni tatizo. 3 years back sijui kama tcu hata ilikuwetpo. Inabidi aanze tu upya aisee.

In my opinion kwa sababu ada nahisi ni tatizo bado nadhani angenufaika kwa kusaka kibarua kwa wahindi huku anapiga book open university. Akiwa kwa wahindi anaweza hata kukopa kwa mshahara na kuanza biashara upya, taking the advantage kwamba ameshajua alikosea wapi.
 
ahsante mkuu ntampata wapi huyu dr.

Huyu yupo hapo UDSM, mtumie private msg humu humu JF through hili jina Kitila Mkumbo naye atakupa ushauri pia na no# ya simu atakupa ili muweze kuelewana vizur kwani amekuwa akisaidia wengi ktk ushauri wa mambo ya kitaaluma.
 
Last edited by a moderator:
Huyu yupo hapo UDSM, mtumie private msg humu humu JF through hili jina Kitila Mkumbo naye atakupa ushauri pia na no# ya simu atakupa ili muweze kuelewana vizur kwani amekuwa akisaidia wengi ktk ushauri wa mambo ya kitaaluma.

ahsante mkuu
 
mia amtafute Dr Kitila Mkumbo atamsaidia
 
Last edited by a moderator:
weka jina lachuo mkuu mbona unaficha ficha...na ulikua unasoma nini na kwa level gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…