Je, nini hasa faida ya long distance katika mahusiano ya kimapenzi?

Lakini muungwana! Nao wanahaki ya kupendwa na kuthaminiwa kama mwanamke yeyote, maisha tu ndio hufanya wawe House girls
Sijadharau kazi waifanyayo, bali concer yangu ipo kwenye mazingira ya kazi yao, maana huku boss, huku bodaboda, huku mtotonwa boss, huku jitani unakuta close distance yake ni full buffee sasa hapo ukiwa mbali mtu wa aina hii ni ngumu kum keep, maana kimaisha anajitafuta na wote waliomzunguka wanakuwa kwake fursa
 
Kule kummis mwenzio kunaletaga joto la hali ya juu na hamaniko ndani ya mtu, na wapenzi wakikutana mzagamuo unakuwaga mkali sana kama fainali ya kombe la dunia, tofauti na kama mnaishi pamoja mgamuo unakuwa wa kawaida sana. Am talking from eksipiriensi
 
Juzi nimehama mkoa fulani kwenda mkoa mwingine, nikaaga vipenzi vyangu na kuwaambua thank you ๐Ÿคฃ

Unafiki sitaki, dunia ikizunguka tukakutana tutaendelea tulipo ishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ