Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijadharau kazi waifanyayo, bali concer yangu ipo kwenye mazingira ya kazi yao, maana huku boss, huku bodaboda, huku mtotonwa boss, huku jitani unakuta close distance yake ni full buffee sasa hapo ukiwa mbali mtu wa aina hii ni ngumu kum keep, maana kimaisha anajitafuta na wote waliomzunguka wanakuwa kwake fursaLakini muungwana! Nao wanahaki ya kupendwa na kuthaminiwa kama mwanamke yeyote, maisha tu ndio hufanya wawe House girls
Wewe inakuhusu nini Fred si utulie huko MK tatizo lako nini?Je,
hivi kuna faida yoyote ya kua katika mahusiano ya long distance ?
Uzuri wa mahusiano ya hvo hua hayavunjiki mkikutana kinawaka tuHeeeh! Yamekuwa hayo totoo🙆♀️🙆♀️
Kule kummis mwenzio kunaletaga joto la hali ya juu na hamaniko ndani ya mtu, na wapenzi wakikutana mzagamuo unakuwaga mkali sana kama fainali ya kombe la dunia, tofauti na kama mnaishi pamoja mgamuo unakuwa wa kawaida sana. Am talking from eksipiriensiUmuofia kwenu ndugu zangu JF,
Mara kadha wa kadha kumekua na malalamiko kwa watu mbalimbali kuhusiana na long distance relationship, ambapo watu wengi wenye mahusiano kama haya wamekua wakilalamika, kuhangaika na hata kupoteza matumaini, na kwakweli wamekosa kuaminiana na kupelekea kulegalega mawasiliano na hatimae kuvunjika kwa mahusiano yao hasa pale ambapo mawasiliano ni magumu na gharama za mawasiliano zinakua changamoto kuzikabili.
Je,
hivi kuna faida yoyote ya kua katika mahusiano ya long distance ? Na je una ushauri gani kwa watu walio katika aina hiyo ya mahusiano. kwa mfano mwenzio yuko masomoni au kazini mbali na upeo wa macho yako n.k, ili mahusiano yao yaendelee kushamiri na kudumu?
tafadhali sana,
Usimsikilize huyo mdogo wangu. Hapo kisungura ndio kinaongea.Mkubalie tu ili mtupe Uzoefu huko baadae😂😂
Ooooh kumbe!Uzuri wa mahusiano ya hvo hua hayavunjiki mkikutana kinawaka tu
Fred acha kumtongoza huyu Binti bado mbichi sanaUsimsikilize huyo mdogo wangu. Hapo kisungura ndio kinaongea.
Hivyo yani.Mkikutana mnarudiana sio 😀