Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,444
Niki fikiria kuhusu gharama za kilimo na Bei zilizopo"
nabaki najiuliza Nini maana ya kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu?
Hebu fikilia..
Kukodi shamba ni pesa
Kulima ni pesa
Mbolea ni pesa
Kupalilia ni pesa
Kuvuna ni pesa
Kutoa mazao shambani kwenda mjini ni pesa
Tena ni tsh 1000 kwa kila gunia/ ushuru
Masoko ni ya kubangaiza na yakipatikana masoko mazuri ya nje ya inchi.
wizara husika inazuia tusiuze kwenye masoko hayo Kama wakulima
Wanazuia vibari na kutuwekea mashariti magumu
Kusudi lao. wao ndiyo wanunue kwetu Kisha wakauze Wao kwakifupi ni madarali wanao tudaralia wakulima
Wakati huhuo wao ilikuwa kazi yao kutu taftia masoko Kama wakulima ili tuuze mazao yetu.
Ili tupate pesa za kulipia mzigo mzito wa tozo unao tuelemea
Kilimo imekuwa kazi ya kipuuzi unaingiza mil 20 shambani unavuna unaambulia mil 9
Wizara imekuwa Kama Wenda wazimu they don't care tunayo yapitia
Hapo nyuma Zambia kulikuwa na soko la mahindi watu tukajipanga tuingie huko
Cha ajabu wizara ikaingilia Kati ikazuia hakuna mkulima Wala mfanya biashara kwenda huko kuuza mazao
Wakaingia wao waka nunua mazao yetu kwa Bei chini
Huku wakichambua na kutuachia mabovu
Wakaenda huko wakauza kwa Bei kubwa na kutu daralia pakubwa
huku nyuma wanaelewa baada ya kukosa ajira wasomi wengi wamejiajiri huko kwenye kilimo na biashara
Sasa kipi watanzania tufanye?
Ajira serikalini ni za kindugu tusio na ndugu humo Kwisha habari yetu
Ajira kwenye secta za madini ni za kindugu tusio na ndugu humo Kwisha habari yetu
Kwenye siasa ni connections tusio na ndugu huko Kwisha habari yetu
mtoto wa kikwete leo ni mwana siasa kwa sababu baba ni mwana siasa
Mtoto wa mwinyi leo ni mwana siasa kwa sababu baba alikuwa mwana siasa
Mtoto wa kingunge leo ni mwana siasa kwa sababu baba alikuwa mwana siasa
Mtoto wa jpm leo ni mwana siasa kwa sababu baba alikuwa mwana siasa
tusio na connections Kwisha habari yetu
Sasa sector ya kilimo kimbilio la walio kosa ajira nako kume vamiwa na madarali wenye nyadhifa na nguvu ya Dora
Tukauze wapi Sasa haya mahindi?
Zambia wame zuia
Kenya wame zuia
Lwanda wamezuia
Wapi tupeleke na masoko yetu ya ndani haya wezi kuhimili wingi wa mazao yetu?
Nani tumlilie atu taftie masoko wakati tunao wategemea wamegeuka madarali kwetu,vizuizi kwetu/obstacles
Je! tuache kulima Kisha wote tuchuane kuwa danganya watanzania kwa kuwapa ahadi kemkem Kisha tukishinda chaguzi tuingie mitini?
Au labda tuhamie inchi jirani maana huko serikali hutoa mbolea,pembejeo,mbegu,na hakuna ushuru na mkulima hujiamlia pa kuuza mazao yake?
Bila Shaka huo sio uzalendo
Wizara ya kilimo badilikeni tafadhali kilimo ni kazi ngumu mno tuoneeni huruma
kwa kutu taftia masoko na Kama hamtaki kufanya hivyo tuachieni tutafute wenyewe
na tukiya tafuta msituzuie kupeleka mazaonyetu huko kwani hamkutu saidia kulima kipanda Wala kuvuna
badara yake tengenezeni mazingira mchukue shuru zenu na Kodi zenu maisha ya endelee
Angalieni Msije kutu ludisha kwenye kazi tulizo ziacha tukaingia mitaani tuka nuka mkatukimbia kwa harufu zetu mbaya
Mungu ibariki Tanzania.
mungu ibariki wizara ya kilimo Tanzania