Je, nini tofauti ya matambiko ya kimila na yale yanayofanyika kwenye majengo ya kuabudu?

Je, nini tofauti ya matambiko ya kimila na yale yanayofanyika kwenye majengo ya kuabudu?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Matambiko ya kimila yanayofanyika kiasili huwa yanaonewa aibu sana, hali ni tofauti kwa yale matambiko yanayofanyika kwenye nyumba za kuabudu ambapo watu huona fahari sana kushiriki.

Tatizo ni nini hadi hali kuwa hivi, shida yetu ni nini hasa?
 
Wajinga huona mila zao ni kama kumtukana Mungu hawajui ile ndiyo asili Yao dhabihu ya damu ata kwenye vitabu vya dini zilikuwa zinatolewa ndyo manaa wenzetu wachaga wanafanikiwa sababu Mila Zao hawajaziacha nyuma
 
Inashangaza sana jinsi wakoloni na washirika wao walivyoweze kuteka akili zetu kwa kiasi hiki, hadi unajiuliza, vichwa vyetu vina matataizo gani?! Kama
Wachagga wanaonyesha mfano mzuri, tusione haya kuwaiga, hata kama tunawachukia kwa maendeleo yao, basi tuwaige hata kimya kimya tu...
 
Back
Top Bottom