Umeona eeeh, lakini naanza kupata Mwanga kutokana na ushauri ninaopata.
OK. We have A, B, C, and let call u D, your mom E
so. B and E make C
A and C come from B
C and D come from E
So what is relation btn D, A, B
D, A, E
D = only to E
A = only to B
so: A is not equal to D
A and D are not equal Genetically
There is no any biological, social, culture or belief conflict if they marry
for christian read Genesis 28:2 you can read all story to chapter 30.
Dada kupenda ni ugonjwa ambao hauponi mpaka umetimia ni sawa na kuwa njuka, huponi mpaka umekuwa form two, chamsingi hapo washirikishe watu wazima kwani kwenye wakubwa hakuharibiki kitu, lkn NENO LA MUNUG lipewe nafasi kubwa sana kwani siku za usoni yakitokea mabaya utalaumiwa lkn kama humkosei Mungu wa kweli na Yesu kristo mwana wa mungu basi Rhuksa, kula kasa japo inaua wakati mwingine.
Akati mnaanza kupigana sound kwanini hamkujiuliza hayo maswali kwanza?
Acha unafiki we binti.
Ningekua nakujua ningekucharaza mboko kwanza!
Big up mamaa, naamini mwisho wa siku utajua usimamie wapi, mimi hapa nimechemsha kabisa, inanikumbusha hesabu za mlinganyo enzi zile primary. Ukichuja ushauri uchanganye na zako uje utupe jibu hapahapa kwamba umeamua nini, all da best
Duh! Hili darasa zuri sana. Nilikuwa na wasiwasi kidini. Ila naona hiyo Genesis 28: 2 Jacobo Mtoto wa Isaack alienda kumwoa binti ya Kaka ya Mama yake (Binti ya Mjomba) au Binamu. Haaaaa haaaa hapo poa, Binamu nyama ya hamu.
Swali langu ni je, agano la kale na jipya mapokeo yake ni sawa katika hilo? Je restrictions katika kitabu cha Walawi nadhani haina mgogoro?
mgogoro unaotokea katika ndoa za ndugu, ni pale panapokuwa na genetics conflict. we all inherit genetics from our fathers, in this case marriage btn two who relating from some father, will have this conflict.