Je, niolewe naye? Baba yake alizaa na Mama yangu

Je, niolewe naye? Baba yake alizaa na Mama yangu

Big Lady . . . . Lait Mama ako na Baba ake A wasingezaa nisingeona shida mkioana. So story ingekuwa WAZAZ WENU WALIWAHI KUTONGOZANA NA HATA KUFANYA MAPENZI.
Mtoto akizaliwa tu, ndio anaeunganisha ndugu za mama na baba.
Tabu (kama alivyosema mdau hapo nyuma) ni kuwa huyo C atakuwa wifi au dada???
Mtoto wako na A atamwita C shangazi au Mama mkubwa!!??
Watoto wa C watakuitaje wewe? Watamuitaje A???
C atamuitaje Baba ako au Mama ako? (Kama wangekuwa hai)
C atawaitaje Baba na na Mama wa A??
Yeye C atawaona wakwe ni wazaz wako au wazazi wa A?

Hayo ndo matatizo makubwa mama!! Yatafakari vizuri!!
 
Babu umeanzaaaa . . . bado kuna issue hii ya kuifanyia kazi.

Usitake kuleta complications hapa....Hii issue imeshamalizwa hapa

Kuna Mwanaume ambaye ametokea kunipenda sana, nami nampenda sana

Labda kama kuna mtu kati yenu anamwingiza mwenzake mkenge!!
 
Big Lady . . . . Lait Mama ako na Baba ake A wasingezaa nisingeona shida mkioana. So story ingekuwa WAZAZ WENU WALIWAHI KUTONGOZANA NA HATA KUFANYA MAPENZI.
Mtoto akizaliwa tu, ndio anaeunganisha ndugu za mama na baba.
Tabu (kama alivyosema mdau hapo nyuma) ni kuwa huyo C atakuwa wifi au dada???
Mtoto wako na A atamwita C shangazi au Mama mkubwa!!??
Watoto wa C watakuitaje wewe? Watamuitaje A???
C atamuitaje Baba ako au Mama ako? (Kama wangekuwa hai)
C atawaitaje Baba na na Mama wa A??
Yeye C atawaona wakwe ni wazaz wako au wazazi wa A?

Hayo ndo matatizo makubwa mama!! Yatafakari vizuri!!

Ni kweli kuna complications kama hizi na nyingine nyingi...ila kwa kuwa wazazi wao hawakuwa na coherent families kiasi kwamba watoto wamekulia huku na kule...basi wanaweza kudeal na haya mambo kama watapenda!!

Ila naona kama hakuna reverse gear kwa kadri ya maelezo ya Bigi Lady!!
 
mi nimekosa cha kushauri ndo maana nimekuachia wewe!!

Naamini unayo mengi tu ambayo unaweza kumwaga hapa,

Labda tusaidie kwenye hili,,

Kama wewe ungekuwa ni Big Lady, ungemtema A kwa sababu alizozieleza??

Babu DC!!
 
Haaaa haaaaa umenifurahisha. Hebu nieleze hapo mila za makabila yafuatayo zinasemaje?

Wabondei
Wanyakyusa
Waluguru
Wangoni
Wasukuma

Huo ndo m,changanyiko halisi. Please usiniulize zaidi.

Huyu Baba yake Mwanaume A ninayempenda, yaani Mzee B pia hakuwa ameonana na A miaka mingi pia. Ila alimweleza kwa sasa yeye amemwoa Binamu yake. Mzee B ni Christian. Ila sipendi kufuata mkumbo huo nahitaji kuwa na uhakika.

Lete nondo sasa . . . . lol

Nakupa nondo mama sasa kwanza eleza hapo kila muhusika na kabila lake mana kabila la baba linaweza kuruhusu ila kabila hilo hilo kwa upande wa mama ikawa marufuku!

Usishangae ndio mila zetu hizi gentlemen first.
 
Jamani mbona hivyo na mie nimeshayataja?
 
mmh mamie kwan mmeongea na wakubwa uko kwenu wanasemaje juu ya ilo?
yan ulivyowashirikisha nduguzo wamekuambiaje?
 
Kama wewe ni Mkristo soma kitabu cha BIBLIA katika mambo ya walawi sura ya 18. Natumai kuwa ukimaliza kusoma utakuwa umepata uelewa juu ya nini cha kufanya.

Nimesoma na pia kuna mdau aliileta hapa kwenye thread hii. Sijaweza kupata specific connection. Labda wataalamu wa Biblia nisaidieni.
 
mmh mamie kwan mmeongea na wakubwa uko kwenu wanasemaje juu ya ilo?
yan ulivyowashirikisha nduguzo wamekuambiaje?

Mkuu wangu kabla ya kuwashirikisha wadau wa kwetu, nimeona kwanza nipate some basic facts toka jamvini. isije ikawa haifai halafu kwetu nikaonekana mtu wa ajabu.
 
Mkuu wangu kabla ya kuwashirikisha wadau wa kwetu, nimeona kwanza nipate some basic facts toka jamvini. isije ikawa haifai halafu kwetu nikaonekana mtu wa ajabu.

Umeshakuwa mbayu wayu au bado?

Hebu tupe hitimisho la awali basi dada!!

Babu DC!!
 
Umeshakuwa mbayu wayu au bado?

Hebu tupe hitimisho la awali basi dada!!

Babu DC!!

Babu na wewe, una tabu kweli wewe . . . . lol

Iko hivi Babu DC Washington . . . Nimepeleleza na nimegundua yafuatayo:

Baba yake A yaani (B), kwa sasa japo ni mtu mzima sana, kamwoa Binamu yake, binti mbichi kabisa huko kijijini.

Baba Mlezi wa A ambaye ndo wa familia yake wa sasa, ni Muislamu na yeye anasema kama mimi na yeye A hatuko katika shina la ndugu walionyonya ziwa moja, then haina tabu na anasema Binamu ni Rukswa kumuoa kidini na Kimila. Bado nahitaji maelezo hapo maana sijaelewa kivileeee

Dada yangu yaani C, naona hana Kipingamizi, ila na yeye hajui ndugu wengine watasemaje hasa hawa watoto Liluki wa baba yake A yaani (Mzee B).

Hili la Kibiblia ndo napenda sana nilifahamu kwa Kina maana nami napenda kwenda Mbinguni, lakini sijaweza kulielewa kama kuna makatazo au hapana.

Dada na Kaka zake A katika familia yake hawana kizuizi na wanasema wako poa.

Kwa upande wa ndugu zangu ukiacha dada yangu C. Hakuna ambaye nimeongea naye. Ngoma nzito bado kuliko maelezo.
 
Huyo A ni kaka wa dada yako kwa hiyo ni kaka yako. Kaka na dada hawawezi kuoana.
 
Back
Top Bottom