Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Duh......hii namuachia babu DC!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu umeanzaaaa . . . bado kuna issue hii ya kuifanyia kazi.
Kuna Mwanaume ambaye ametokea kunipenda sana, nami nampenda sana
Duh......hii namuachia babu DC!!
Big Lady . . . . Lait Mama ako na Baba ake A wasingezaa nisingeona shida mkioana. So story ingekuwa WAZAZ WENU WALIWAHI KUTONGOZANA NA HATA KUFANYA MAPENZI.
Mtoto akizaliwa tu, ndio anaeunganisha ndugu za mama na baba.
Tabu (kama alivyosema mdau hapo nyuma) ni kuwa huyo C atakuwa wifi au dada???
Mtoto wako na A atamwita C shangazi au Mama mkubwa!!??
Watoto wa C watakuitaje wewe? Watamuitaje A???
C atamuitaje Baba ako au Mama ako? (Kama wangekuwa hai)
C atawaitaje Baba na na Mama wa A??
Yeye C atawaona wakwe ni wazaz wako au wazazi wa A?
Hayo ndo matatizo makubwa mama!! Yatafakari vizuri!!
Mhhh,
Inakuwaje issue ya Big Lady na mchumba wake mzuri sana (A) unaniachia mie na uzee huu??
Babu DC!!
mi nimekosa cha kushauri ndo maana nimekuachia wewe!!
Haaaa haaaaa umenifurahisha. Hebu nieleze hapo mila za makabila yafuatayo zinasemaje?
Wabondei
Wanyakyusa
Waluguru
Wangoni
Wasukuma
Huo ndo m,changanyiko halisi. Please usiniulize zaidi.
Huyu Baba yake Mwanaume A ninayempenda, yaani Mzee B pia hakuwa ameonana na A miaka mingi pia. Ila alimweleza kwa sasa yeye amemwoa Binamu yake. Mzee B ni Christian. Ila sipendi kufuata mkumbo huo nahitaji kuwa na uhakika.
Lete nondo sasa . . . . lol
Jamani mbona hivyo na mie nimeshayataja?Nakupa nondo mama sasa kwanza eleza hapo kila muhusika na kabila lake mana kabila la baba linaweza kuruhusu ila kabila hilo hilo kwa upande wa mama ikawa marufuku!
Usishangae ndio mila zetu hizi gentlemen first.
Kama wewe ni Mkristo soma kitabu cha BIBLIA katika mambo ya walawi sura ya 18. Natumai kuwa ukimaliza kusoma utakuwa umepata uelewa juu ya nini cha kufanya.
mmh mamie kwan mmeongea na wakubwa uko kwenu wanasemaje juu ya ilo?
yan ulivyowashirikisha nduguzo wamekuambiaje?
Mkuu wangu kabla ya kuwashirikisha wadau wa kwetu, nimeona kwanza nipate some basic facts toka jamvini. isije ikawa haifai halafu kwetu nikaonekana mtu wa ajabu.
Umeshakuwa mbayu wayu au bado?
Hebu tupe hitimisho la awali basi dada!!
Babu DC!!