Je, niolewe naye? Baba yake alizaa na Mama yangu

jibu unalo mwenyewe nauamuzi niwako. kwanini nasema hivyo mapenzi ni siri ya watu wawili sidhani kama mtu baki anweza kuingilia maana mapenzi naweza kufananisha na kidonda ambacho huacha kovu mwilini ambalo halisahauliki maishani kila la heri

Asante sana kwa ushauri. Pamoja na kuwa mapenzi ni ya watu wawili, inapokuja swala la ndoa si siri tena. Na hapa ndo ambapo nahitaji maoni au ushauri.
 
Mmmh, kupendana tunapendana sana. Shida ni kuwa, ni sawa? Kama hakuna shida ni kwa namna gani?

Wewe na A hamjashare baba wala mama, kwahiyo hamna shida. Ila kwa C ndio ingeleta shida kidogo sababu wao wameshare B.
 
huyo ni kaka yako kiutaratibu watz huwezi kuolewa nae hata kidogo
 
Dah!huo ni mchanganyiko maalum,
Pamoja na yote uliza kwanza je mila zenu zinaruhusu?
Then vp kuhusu huyo muoaji coz nahisi keshajua huo mseto uliotokea yeye anasemaje?
 
Mshirikishe C
Ila olewa dear. Huna undugu naye wa damu
watu wanaolewa na binamu zao sembuse huyo.
 
Wewe na A hamjashare baba wala mama, kwahiyo hamna shida. Ila kwa C ndio ingeleta shida kidogo sababu wao wameshare B.


Nimekusoma Mkuu. Asante kwa ushauri. Na je haina mgogoro kidini au Kijamii?
 
Mkuu hawajawahi kuoana ni walizaa tu enzi za ujana wao. Na je, hilo unaloliongelea unaweza ukanipa source yake? Bi bible au Kimaadili au Kijamii tu?

[TABLE="width: 95%"]
[TR]
[TD="width: 120"]Chapter 20
[/TD]
[TD] Leviticus (Mambo ya Walawi) =>some theologians call it "Punishment of sins chapter."

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:1[/TD]
[TD]And the LORD spake unto Moses, saying,[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:2[/TD]
[TD]Again, thou shalt say to the children of Israel, Whosoever he be of the children of Israel, or of the strangers that sojourn in Israel, that giveth any of his seed unto Molech; he shall surely be put to death: the people of the land shall stone him with stones.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:3[/TD]
[TD]And I will set my face against that man, and will cut him off from among his people; because he hath given of his seed unto Molech, to defile my sanctuary, and to profane my holy name.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:4[/TD]
[TD]And if the people of the land do any ways hide their eyes from the man, when he giveth of his seed unto Molech, and kill him not:[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:5[/TD]
[TD]Then I will set my face against that man, and against his family, and will cut him off, and all that go a whoring after him, to commit whoredom with Molech, from among their people.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:6[/TD]
[TD]And the soul that turneth after such as have familiar spirits, and after wizards, to go a whoring after them, I will even set my face against that soul, and will cut him off from among his people.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:7[/TD]
[TD]Sanctify yourselves therefore, and be ye holy: for I am the LORD your God.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:8[/TD]
[TD]And ye shall keep my statutes, and do them: I am the LORD which sanctify you.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:9[/TD]
[TD]For every one that curseth his father or his mother shall be surely put to death: he hath cursed his father or his mother; his blood shall be upon him.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:10[/TD]
[TD]And the man that committeth adultery with another man's wife, even he that committeth adultery with his neighbour's wife, the adulterer and the adulteress shall surely be put to death.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:11[/TD]
[TD]And the man that lieth with his father's wife hath uncovered his father's nakedness: both of them shall surely be put to death; their blood shall be upon them.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:12[/TD]
[TD]And if a man lie with his daughter in law, both of them shall surely be put to death: they have wrought confusion; their blood shall be upon them.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:13[/TD]
[TD]If a man also lie with mankind, as he lieth with a woman, both of them have committed an abomination: they shall surely be put to death; their blood shall be upon them.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:14[/TD]
[TD]And if a man take a wife and her mother, it is wickedness: they shall be burnt with fire, both he and they; that there be no wickedness among you.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:15[/TD]
[TD]And if a man lie with a beast, he shall surely be put to death: and ye shall slay the beast.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:16[/TD]
[TD]And if a woman approach unto any beast, and lie down thereto, thou shalt kill the woman, and the beast: they shall surely be put to death; their blood shall be upon them.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:17[/TD]
[TD]And if a man shall take his sister, his father's daughter, or his mother's daughter, and see her nakedness, and she see his nakedness; it is a wicked thing; and they shall be cut off in the sight of their people: he hath uncovered his sister's nakedness; he shall bear his iniquity.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:18[/TD]
[TD]And if a man shall lie with a woman having her sickness, and shall uncover her nakedness; he hath discovered her fountain, and she hath uncovered the fountain of her blood: and both of them shall be cut off from among their people.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:19[/TD]
[TD]And thou shalt not uncover the nakedness of thy mother's sister, nor of thy father's sister: for he uncovereth his near kin: they shall bear their iniquity.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:20[/TD]
[TD]And if a man shall lie with his uncle's wife, he hath uncovered his uncle's nakedness: they shall bear their sin; they shall die childless.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:21[/TD]
[TD]And if a man shall take his brother's wife, it is an unclean thing: he hath uncovered his brother's nakedness; they shall be childless.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:22[/TD]
[TD]Ye shall therefore keep all my statutes, and all my judgments, and do them: that the land, whither I bring you to dwell therein, spue you not out.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:23[/TD]
[TD]And ye shall not walk in the manners of the nation, which I cast out before you: for they committed all these things, and therefore I abhorred them.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:24[/TD]
[TD]But I have said unto you, Ye shall inherit their land, and I will give it unto you to possess it, a land that floweth with milk and honey: I am the LORD your God, which have separated you from other people.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:25[/TD]
[TD]Ye shall therefore put difference between clean beasts and unclean, and between unclean fowls and clean: and ye shall not make your souls abominable by beast, or by fowl, or by any manner of living thing that creepeth on the ground, which I have separated from you as unclean.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:26[/TD]
[TD]And ye shall be holy unto me: for I the LORD am holy, and have severed you from other people, that ye should be mine.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20:27[/TD]
[TD]A man also or woman that hath a familiar spirit, or that is a wizard, shall surely be put to death: they shall stone them with stones: their blood shall be upon them.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Dah!huo ni mchanganyiko maalum,
Pamoja na yote uliza kwanza je mila zenu zinaruhusu?
Then vp kuhusu huyo muoaji coz nahisi keshajua huo mseto uliotokea yeye anasemaje?

Best sasa hizi mila nimuulize nani katika Mchanganyiko huo hata lugha moja siijui.

Huyu Mwanaume A, yeye yuko tayari kunioa ila naye anapenda tupate uhakika kama haitakuwa na shida baadaye.
 
Mdogo wako wa mama mmoja huyo ni kaka yake wa damu na huo ni muunganiko ambao hauvunjiki. Huyo ni kaka yenu dia na maamuzi yako kwako..
 
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Asante Mkuu. Mbona sijaona connection yoyote kwenye hii kama umesoma vyema posti yangu. Au mimi ndo sielewi?
 
Wewe na A hamjashare baba wala mama, kwahiyo hamna shida. Ila kwa C ndio ingeleta shida kidogo sababu wao wameshare B.

Kweli ndiyo sababu wazee wa kwetu walisema, nafasiri kwa kiswahili, "utamu wa ushauri uu ulimini mwako"
 
sioni tatizo hapo
ili mradi muende kuolewa kidini

huo undugu wa kupitia 'alizaa na nani' si kitu

wewe hakikisha unaolewa kidini na waeleze mapema viongozi wa dini hofu yako....

binafsi sioni tatizo
 
Mdogo wako wa mama mmoja huyo ni kaka yake wa damu na huo ni muunganiko ambao hauvunjiki. Huyo ni kaka yenu dia na maamuzi yako kwako..

Ni kweli kwa namna ulivyoeleza. Je hiyo ni sababu tosha ya kuzuia kuoana?
 
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Asante Mkuu. Mbona sijaona connection yoyote kwenye hii kama umesoma vyema posti yangu. Au mimi ndo sielewi?

Kama mwanaume akichukua ndugu yake wa kike iwe hivyo, ni kwamba anayeolewa ni ndugu wa kike wa mwanaume. Je, wewe si mtoto wa baba yake A? Baba yake A anakuitaje wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…