Big Lady
JF-Expert Member
- Nov 23, 2009
- 546
- 77
- Thread starter
- #21
jibu unalo mwenyewe nauamuzi niwako. kwanini nasema hivyo mapenzi ni siri ya watu wawili sidhani kama mtu baki anweza kuingilia maana mapenzi naweza kufananisha na kidonda ambacho huacha kovu mwilini ambalo halisahauliki maishani kila la heri
Asante sana kwa ushauri. Pamoja na kuwa mapenzi ni ya watu wawili, inapokuja swala la ndoa si siri tena. Na hapa ndo ambapo nahitaji maoni au ushauri.
