danieljeneral93
Member
- Mar 22, 2021
- 18
- 20
Mahitaji ya mwalimu maxmum ni degree, so unapokuwa mwalimu wewe wa degree na masters mshahara ni mmoja, why bother uchinje ngurue mzima just for a tail. Kasomee ishu zingine pia usiwaze kuajiriwa sana, ajira ni ujingaHabari wana JF, ndugu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.
Kuna jambo naombeni tusaidiane Mimi ni mwalimu na niko nje ya system I mean sijaajiriwa serikalini nafanya private school ila nina hitaki kufanya master degree kipi kinaweza kuwa sahihi kwangu.
1. Kusoma masters ambazo zinahusisha education. In case nimeajiriwa inaweza kunisaidia.
2. Kufanya master ambazo ziko nje ya ualimu. Kuhusu hii naombeni kuuliza hivi master degree unaweza kutumika as one of direct qualification for employment serikalini?
Nipeni mawazo ndugu zangu
Bobea kwenye lugha ya Kiswahili...utanishukuruHabari wana JF, ndugu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.
Kuna jambo naombeni tusaidiane Mimi ni mwalimu na niko nje ya system I mean sijaajiriwa serikalini nafanya private school ila nina hitaki kufanya master degree kipi kinaweza kuwa sahihi kwangu.
1. Kusoma masters ambazo zinahusisha education. In case nimeajiriwa inaweza kunisaidia.
2. Kufanya master ambazo ziko nje ya ualimu. Kuhusu hii naombeni kuuliza hivi master degree unaweza kutumika as one of direct qualification for employment serikalini?
Nipeni mawazo ndugu zangu
Nicheki PM tuongee kwa kinaHabari wana JF, ndugu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.
Kuna jambo naombeni tusaidiane Mimi ni mwalimu na niko nje ya system I mean sijaajiriwa serikalini nafanya private school ila nina hitaki kufanya master degree kipi kinaweza kuwa sahihi kwangu.
1. Kusoma masters ambazo zinahusisha education. In case nimeajiriwa inaweza kunisaidia.
2. Kufanya master ambazo ziko nje ya ualimu. Kuhusu hii naombeni kuuliza hivi master degree unaweza kutumika as one of direct qualification for employment serikalini?
Nipeni mawazo ndugu zangu
Mwaga mchele kwenye kuku wengiNicheki PM tuongee kwa kina
Ulichowaza na kufikiria ndicho kinachonifikirisha ata mimi mkuuHabari wana JF, ndugu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.
Kuna jambo naombeni tusaidiane Mimi ni mwalimu na niko nje ya system I mean sijaajiriwa serikalini nafanya private school ila nina hitaki kufanya master degree kipi kinaweza kuwa sahihi kwangu.
1. Kusoma masters ambazo zinahusisha education. In case nimeajiriwa inaweza kunisaidia.
2. Kufanya master ambazo ziko nje ya ualimu. Kuhusu hii naombeni kuuliza hivi master degree unaweza kutumika as one of direct qualification for employment serikalini?
Nipeni mawazo ndugu zangu
Pole Sana mkuu!!Habari wana JF, ndugu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.

Pole sana mkuu nasikitika sana kuona kumbe hata hiyo Elimu yako unayojivunia hata wewe haijakusaidia kabisa na hujui unachokiandika . Pole sana ni huzuni mno kuwa na wasomi kariba yako.Pole Sana mkuu!!
Unataka kuongeza elimu hiyo uliyonayo umeshaitumia vya kutosha na kufika kilele Cha mafanikio yake!!?
Kama ni serikalini huku masters Yako haihitajiki kama criteria ya ajira Wala cheo ni uzoefu kazini!!
Hakuna sehem utaiapply masters huku hata ukiwa afisa elimu hutoshindwa kusimamia elimu mkoani.au.wilayani kiss huna masters!!
USHAURI
USIENDE KUSOMA MASTERS COZ HIYO DEGREE BADO HAIJATUMIKA KWENYE KILELE CHAKE CHA MAFANIKIO!!
WAZA NAMNA YA KUWEKEZA KIUCHUMI KWA KIZAZI CHAKO CHA KWANZA HADI CHA NNE!!ACHANA NA UJINGA WA KUWA NA VYETI WAKATI AJIRA HAMNA KABISA MKUU!!!
NIPO JOB KWA GOVERNMENT KWA MIAKA KUMI SIJAONA DEGREE YANGU IMETUMIKA KATIKA KILELE.CHAKE!
EPUKANA NA MENTAL SLAVERY,WE HUONIW MAPROFESA WANAKIMBIA UPROF WAO WANAINGIA KWENYE SIASA AMBAKO KUNA HELA NA SIO HUKO KWENYE VITENGO VYAO!?
WAMEONA ELIMU YAO NI BURE HAINA MAANA BORA WAKAE NA MUSUKUMA NA KIBAJAJI AMBAO HATA MASTERS AU DEGREES HAWANA NA WANABISHANA KWA HOJA NA HAKUNA TOFAUTI KATI YA MSOMI NA ASIE MSOMI!!!
Pole Sana mkuu!!Habari wana JF, ndugu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.
Kuna jambo naombeni tusaidiane Mimi ni mwalimu na niko nje ya system I mean sijaajiriwa serikalini nafanya private school ila nina hitaki kufanya master degree kipi kinaweza kuwa sahihi kwangu.
1. Kusoma masters ambazo zinahusisha education. In case nimeajiriwa inaweza kunisaidia.
2. Kufanya master ambazo ziko nje ya ualimu. Kuhusu hii naombeni kuuliza hivi master degree unaweza kutumika as one of direct qualification for employment serikalini?
Nipeni mawazo ndugu zangu
Mkuu undergraduate hafundishi chuo!!?Pole sana mkuu nasikitika sana kuona kumbe hata hiyo Elimu yako unayojivunia hata wewe haijakusaidia kabisa na hujui unachokiandika . Pole sana ni huzuni mno kuwa na wasomi kariba yako.
Any way we jamaa kasome kwa maana kila mtu na njia yake ya mafanikio. Kama performance yako Undergraduate ni nzuri unayo possibility hata ya kufundisha vyuo vya kati hata vyuo vikuu kabisa. Wakati wewe unaenda kusoma ukirudi utakuta wenzako wana maisha yale yale yaani hata hampishani. Walimu wa Msingi na Sekondari 90% ni njaa tu hata ukidanganya vipi lakini wengi wao ni kampuni moja. Walau walimu wa vyuo shavu nyingi kule. Kasome mkuuuuuu
Undergraduate hafundishi chuo !!?lazima awe na masters!!?Pole sana mkuu nasikitika sana kuona kumbe hata hiyo Elimu yako unayojivunia hata wewe haijakusaidia kabisa na hujui unachokiandika . Pole sana ni huzuni mno kuwa na wasomi kariba yako.
Any way we jamaa kasome kwa maana kila mtu na njia yake ya mafanikio. Kama performance yako Undergraduate ni nzuri unayo possibility hata ya kufundisha vyuo vya kati hata vyuo vikuu kabisa. Wakati wewe unaenda kusoma ukirudi utakuta wenzako wana maisha yale yale yaani hata hampishani. Walimu wa Msingi na Sekondari 90% ni njaa tu hata ukidanganya vipi lakini wengi wao ni kampuni moja. Walau walimu wa vyuo shavu nyingi kule. Kasome mkuuuuuu
Tatizo mnasoma bila kuangalia uhalisia was maisha!!Pole sana mkuu nasikitika sana kuona kumbe hata hiyo Elimu yako unayojivunia hata wewe haijakusaidia kabisa na hujui unachokiandika . Pole sana ni huzuni mno kuwa na wasomi kariba yako.
Any way we jamaa kasome kwa maana kila mtu na njia yake ya mafanikio. Kama performance yako Undergraduate ni nzuri unayo possibility hata ya kufundisha vyuo vya kati hata vyuo vikuu kabisa. Wakati wewe unaenda kusoma ukirudi utakuta wenzako wana maisha yale yale yaani hata hampishani. Walimu wa Msingi na Sekondari 90% ni njaa tu hata ukidanganya vipi lakini wengi wao ni kampuni moja. Walau walimu wa vyuo shavu nyingi kule. Kasome mkuuuuuu
Yani wewe ndio bure kabisa nimekupuuza bora hata yule mwenzako alipuyanga kidgo. Tgts E take home ni laki sita? Ww ni bure kabisa. Any way acha kulinganisha walimu wa Vyuo na vitu vya kijinga wewe. Wale fursa ni nyingi mno. Semina nyingi za Elimu wakufunzi ndio wanaoseminisha, bado wana malupulupu kibao ya kufanya assesment na mambo chungu mzima. Sasa hao ndio uwalinganishe na hawa wa sekondari wenye madeni kila kon???Tatizo mnasoma bila kuangalia uhalisia was maisha!!
Naomba utambue kwamba sisi kama taifa na Dola "tuliamua mapesa mengi yapelekwe kwenye siasa kuliko kwenye professional"
Sasa Leo mwalimu anaefundisha chuoncha kati Cha serikali anaaanza na mshahara wa TGTS E ambao ni sawa na kama Laki Tisa na point take home kama mia sita unadhani anatofautiana Nini na mwl wa secondary mwenye D !!?zaidi ya mikopo na kujiongeza!!?
Kila professional hapa tz inalia isipokua kwenye siasa ubunge na uwaziri TU!!
Jifunze kuielewa Dola na dhamira yake kampigie prof kitila mkumbo,prof kabudi wakuambie mbona hawajivunii uwalimu was chuo wakakimbia !!?
I rest my case!!!
Kwa hio kama chuo panaridhisha bas wasingekimbilia siasa mkuu!!Yani wewe ndio bure kabisa nimekupuuza bora hata yule mwenzako alipuyanga kidgo. Tgts E take home ni laki sita? Ww ni bure kabisa. Any way acha kulinganisha walimu wa Vyuo na vitu vya kijinga wewe. Wale fursa ni nyingi mno. Semina nyingi za Elimu wakufunzi ndio wanaoseminisha, bado wana malupulupu kibao ya kufanya assesment na mambo chungu mzima. Sasa hao ndio uwalinganishe na hawa wa sekondari wenye madeni kila kon???
Ulivyoamua kusoma Bachelor ya Education ulimwuliza nani. Kamwulize huyohuyo.Habari wana JF, ndugu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.
Kuna jambo naombeni tusaidiane Mimi ni mwalimu na niko nje ya system I mean sijaajiriwa serikalini nafanya private school ila nina hitaki kufanya master degree kipi kinaweza kuwa sahihi kwangu.
1. Kusoma masters ambazo zinahusisha education. In case nimeajiriwa inaweza kunisaidia.
2. Kufanya master ambazo ziko nje ya ualimu. Kuhusu hii naombeni kuuliza hivi master degree unaweza kutumika as one of direct qualification for employment serikalini?
Nipeni mawazo ndugu zangu
Kwa hio kama chuo panaridhisha bas wasingekimbilia siasa mkuu!!
Mambo ni Yale Yale hakuna jipya kilio ni kwa wote!!!
Utumwa wa kifikra wa soma ilinupate ajira ya juu zaidi unakumaliza mkuu!!
Chuo chankati SI hivyo vya certificates na diploma!!?hapo wewe unazungumzia versity !We lofa usiyeelewa chochote mwl wa chuo cha kati ndio yupi. Hiyo scale ni ya watu gani. Km haujui jambo si ukae kimya kuliko kupotosha? Vyuo vya elimu ya juu vyote mishahara yao inalingana(equivalent). Mshahara wa Tutorial Assistant(TA) ni zaidi ya 1.5M na wa Assistant Lecturer ni zaidi ya 2.5M, hiyo ni mishahara ya kuanzia. Maprofesa wao wapo wanaolipwa mpaka zaidi ya 8M. Halafu vyuoni kuna fursa nyingi we bwana mdogo