Ni kweli ukifanya mazoezi hasa mazito kwa muda mrefu hutakiwi kuacha ghafla kuna kanuni na taratibu za kuacha mazoezi.ni kama vile madawa ya kulevya huwezi kuacha ghafla tu na ukawa salama hii ni kwasababu mwili unakuwa teyari upo adapted.kabla hujaanza mazoezi mwili wako ulikuwa ukitimiza mahitaji kulingana na afya yako ya wakati huo lakini baada ya kuanza mazoezi vitu vingi vinabadilika mwilini hasahasa ukizingatia kwamba mazoezi huimarisha afya ya mwili na kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa nyemerezi.kutoka mwili wa kawaida kwenda kwenye mwili wa mazoezi ni tofauti na kutoka kwenye mwili wa mazoezi kwenda mwili wa kawaida.hapo ni sawa na kushusha immunity ya mwili hapo lazima uoate shida kidogo.hapo kwenye kuuma kifua na kupumua kwa shida ni kwamba mazoezi mazito yanatanua kifua na kufanya uwe na uwezo wa kuchukua pumzi nyingi na ndio maana wachezaji wa michezo mingi hasahasa mpira,riadha na kuogelea kunahitaji mazoezi magumu ili kuweka hali nzuri ya uchukuaji wa pumzi mwilini.sasa mkuu hicho kitendo chako cha kuacha ghafla mwili unakosa ili hali ya kila siku ya mazoezi basi unarudi na kuadapt hali ya kawaida kwamba kifua kinarudi katika hali ya kawaida ndio maana unaona ni tabu kupumua kwasababu mapafu yanapunguza uwezo wa accommodate hewa nyingi mwilini ndio maana unapata shida hapo.
USHAURI:Kama unaona hauna uhakika wa kufanya mazoezi mazito gym basi fanya kukimbia kila jioni na asubuhi umbali wa nusu kilomita haya ni mazoezi mepesi,mazoezi mepesi hata ukiacha ghafla hayana impact kubwa kwenye mwili wa binadamu ila mazoezi magumu unaweza kufa kabisa ukiacha ghafla.ila kama unampenda kuendelea kufanya mazoezi mazito ukiwa gym basi tafuta gym ambapo kuna mtaalamu wa mazoezi aliyesoeea kabisa hawa ndio wanaelewa mazoezi na afya watakushauri jinsi kufanya mazoezi.uamuzi wako ni mzuri sana wa kufanya mazoezi hayo ni matatizo ya kawaida kabisa ila usirudi kufanya mazoezi magumu moja kwa moja anza na mazoezi mepesi kwanza .kila la kheri mkuu