Yap kuna tofauti,logo ni trademark unaisaijili tofauti....tradename unaisajili BRELANa Je, kuna tofauti katika usajili wa LOGO na TRADENAME ?
Kwahiyo mkuu unamaanisha ili niwe kwenye safe side inatakiwa nisajili vyote kama: eg kampuni yangu inaitwa Mkaruka Company Limited natakakiwa kwanzaTofauti ipo kuna trademark pamoja na trade name. Yote yanatumika interchangeably.
Kuna msajili wa trademarks na kuna msajili wa company names. In order for a brand to be legally protected ni lazima vyote vikasajiliwe, nikimaanisha kuanzia company logo, trademark na jina la company
Halafu ni nini hasa maana ya Trade names maana nijuavyo mimi Trade names huwa wanasajili wale wa Sole Proprietor.Yap kuna tofauti,logo ni trademark unaisaijili tofauti....tradename unaisajili BRELA
Sent using Jamii Forums mobile app
Logo ni Trademark sio tradenameNa Je, kuna tofauti katika usajili wa LOGO na TRADENAME ?
Hii akil nimeipendaongeza s au toa iyo a
Hii akil nimeipenda
Hao Trade and Service mark act hawako chini ya BRELA ?
Kwahiyo mkuu unamaanisha ili niwe kwenye safe side inatakiwa nisajili vyote kama: eg kampuni yangu inaitwa Mkaruka Company Limited natakakiwa kwanza
- Kusajili Jina la kampuni Mkaruka.
- Kampuni Mkaruka company limited
- Logo ya kampuni, Mkaruka
- Na kila Trademark itakayopatikana ?
Tafuta jina jingine mkuu, kwa nn utafute contradiction zisizo na msingi- Mirinda siyo kampuni bali ni Trademark ya PepsiCo, Je, nikisema nisajili kampuni yangu kwa jina Mirinda ni kosa kisheria ?
- Na je, kilichosajiliwa ni Neno MIRINDA au Logo yake au hakuna tofauti ?
Msaada wadau !!
Kwahiyo mkuu unamaanisha ili niwe kwenye safe side inatakiwa nisajili vyote kama: eg kampuni yangu inaitwa Mkaruka Company Limited natakakiwa kwanza
- Kusajili Jina la kampuni Mkaruka.
- Kampuni Mkaruka company limited
- Logo ya kampuni, Mkaruka
- Na kila Trademark itakayopatikana ?
Duuuuh! mkuu soma maelezo vizuri,mi naona kama hajagusia Coca.Nani amekwambia Mirinda ni ya COCACOLA?? Mirinda ni ya PepsiCo au SBC Tz Limited
hata hivyo sheria sidhani kama zinaruhusu...
Duuh, lakini mimi ninataka kulinda mzizi halisi wa jina "Mkaruka" nilitumie peke yangu, hapo itakuwaje ?Halafu hata jina la kampuni. Ni jina lililokamilika
Kwa mfano
Mkaruka sio jina kamili
Mkaruka Company Limitef
Mkaruka Holdings
Mkaruka General Supplies LTD
Mkaruka Traders LTD nk nk
Zinaweza kuwa kampuni tatu tofauti
Ni vyote viwiliMfano Whitedent ni Tradename au Trademark ?