Je, Nitakuwa na kosa iwapo nitasajili kampuni yangu MIRINDA ?

Je, Nitakuwa na kosa iwapo nitasajili kampuni yangu MIRINDA ?

1.Company logo, trademark vinasajiliwa chini ya Trade and Service Mark act.
2. Company names under BRELA
 
Tofauti ipo kuna trademark pamoja na trade name. Yote yanatumika interchangeably.
Kuna msajili wa trademarks na kuna msajili wa company names. In order for a brand to be legally protected ni lazima vyote vikasajiliwe, nikimaanisha kuanzia company logo, trademark na jina la company
Kwahiyo mkuu unamaanisha ili niwe kwenye safe side inatakiwa nisajili vyote kama: eg kampuni yangu inaitwa Mkaruka Company Limited natakakiwa kwanza

- Kusajili Jina la kampuni Mkaruka.
- Kampuni Mkaruka company limited
- Logo ya kampuni, Mkaruka

- Na kila Trademark itakayopatikana ?
 
Ni kosa.
Kigezo mojawapo cha kukataliwa na brela ni kutumia jina hilo la mirinda.
 
1.Company logo, trademark vinasajiliwa chini ya Trade and Service Mark act.
2. Company names under BRELA
Hao Trade and Service mark act hawako chini ya BRELA ?
 
Yap kuna tofauti,logo ni trademark unaisaijili tofauti....tradename unaisajili BRELA

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ni nini hasa maana ya Trade names maana nijuavyo mimi Trade names huwa wanasajili wale wa Sole Proprietor.
- Sasa hapa kati ya wale wanaosajili Sole Proprietor name na Majina ya bidhaa kama Blueband au Whitedent ipi ni Trade Name na ipi ni TradeMark mkuu ?
 
Hao Trade and Service mark act hawako chini ya BRELA ?

Trade and service mark act ni sheria iliyoestablish offisi ya msajili wa trade na service mark, ni independent office
 
Kwahiyo mkuu unamaanisha ili niwe kwenye safe side inatakiwa nisajili vyote kama: eg kampuni yangu inaitwa Mkaruka Company Limited natakakiwa kwanza

- Kusajili Jina la kampuni Mkaruka.
- Kampuni Mkaruka company limited
- Logo ya kampuni, Mkaruka

- Na kila Trademark itakayopatikana ?

Halafu hata jina la kampuni. Ni jina lililokamilika
Kwa mfano
Mkaruka sio jina kamili
Mkaruka Company Limitef
Mkaruka Holdings
Mkaruka General Supplies LTD
Mkaruka Traders LTD nk nk
Zinaweza kuwa kampuni tatu tofauti
 
- Mirinda siyo kampuni bali ni Trademark ya PepsiCo, Je, nikisema nisajili kampuni yangu kwa jina Mirinda ni kosa kisheria ?

- Na je, kilichosajiliwa ni Neno MIRINDA au Logo yake au hakuna tofauti ?

Msaada wadau !!
Tafuta jina jingine mkuu, kwa nn utafute contradiction zisizo na msingi
 
Kwahiyo mkuu unamaanisha ili niwe kwenye safe side inatakiwa nisajili vyote kama: eg kampuni yangu inaitwa Mkaruka Company Limited natakakiwa kwanza

- Kusajili Jina la kampuni Mkaruka.
- Kampuni Mkaruka company limited
- Logo ya kampuni, Mkaruka

- Na kila Trademark itakayopatikana ?

Sawa kabisa na kila product yako uende ukaisajili ili usije ukaibiwa jina
 
Nani amekwambia Mirinda ni ya COCACOLA?? Mirinda ni ya PepsiCo au SBC Tz Limited

hata hivyo sheria sidhani kama zinaruhusu...
Duuuuh! mkuu soma maelezo vizuri,mi naona kama hajagusia Coca.
 
Halafu hata jina la kampuni. Ni jina lililokamilika
Kwa mfano
Mkaruka sio jina kamili
Mkaruka Company Limitef
Mkaruka Holdings
Mkaruka General Supplies LTD
Mkaruka Traders LTD nk nk
Zinaweza kuwa kampuni tatu tofauti
Duuh, lakini mimi ninataka kulinda mzizi halisi wa jina "Mkaruka" nilitumie peke yangu, hapo itakuwaje ?
 
Mfano Whitedent ni Tradename au Trademark ?
Ni vyote viwili
Nikupe mfano rahisi trademark ni ule mchoro wa maandishi ya coca cola mekundu/meupe na pia tradename ni neno coca cola

Au azam ule mchoro ni trademark na pia neno azam ni tradename
 
Back
Top Bottom