je nitapata mkopo kwa matokeo haya?

je nitapata mkopo kwa matokeo haya?

muhandu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
311
Reaction score
83
wadau o level nina div ll point 21 civ C,hist C,geog B,kisw C,engl B,math,chem,biol zote ni D.A level gs S,hist D,geogr C na engl D.kwenye diploma gs C,hist teach metho B,geogr teac metho A,edu psyc g &c B,edu researc measur & eval B,found of edu A,curric & teach A.nataka kuomba mkopo tcu nisome digrii ya elimu vipi ntafanikiwa?
 
Usiwe na shaka kabisa mkopo upo guranteed japo utapata asilimia chache. Ufaulu wako ni mzuri! Labda kama ulisoma private unalo.
 
Siku hizi hakuna mikopo kwa watu walio makazini ndg (inservice), komaa tu ujisomeshe mwenyewe! By the way, mbn matokeo yako ya A-level yalikuwa mazuri? Kilichokufanya ukaanzie diploma ni nini? Utajibeba!
 
Usiwe na shaka kabisa mkopo upo guranteed japo utapata asilimia chache. Ufaulu wako ni mzuri! Labda kama ulisoma private unalo.
o level private ila a level g'ment hapo vipi?
 
Umeapply chuo gani? Teofilo Kisanji,Katavi univ au SAUT? Ukipata admission kwenye public universities utakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi, lakini kwa ujumla wala usitie shaka mkuu maana elimu ni miongoni mwa priorities za serikali.
 
Utapata mkopo chuo chochote utakachokuwa umechaguliwa kwenda,ondoa hofu.Kuna watu humu wanajua kukatisha wenzao tamaa.
 
Nashukuru sana kwa kunitia moyo,nia yangu niombe kujiunga na saut.wacha nianze mchakato coz madini ili yawe na thamani ni lazima yasafishwe.
 
Shart la kwanza la kujua ili kukusaidia vigezo unavyo form 6 umehtmu mwaka gan?

Hili ni swali la msingi sana kwani siku hizi Board ya mikopo wanatoa mikopo kwa wanachuo waliohitimu miaka mitatu nyuma ya ule mwaka unaombea udahili.
 
Kama ulishaajiriwa kupata itakuwa vigumu, ila inservice wanaopata naona ni wale wanaodanganya kuwa hawajaajiriwa, bodi inadhani kuwa watu wote walioajiriwa wanauwezo wa kujisomesha.
 
Usiambatanishe cheti cha diploma ili pesa ziwe nyingi
 
wadau o level nina div ll point 21 civ C,hist C,geog B,kisw C,engl B,math,chem,biol zote ni D.A level gs S,hist D,geogr C na engl D.kwenye diploma gs C,hist teach metho B,geogr teac metho A,edu psyc g &c B,edu researc measur & eval B,found of edu A,curric & teach A.nataka kuomba mkopo tcu nisome digrii ya elimu vipi ntafanikiwa?

Ngoja nkwambie, tumia cheti cha form 6 kuomba chuo kuptia tcu na loan board, cheti cha diploma uckiweke kabsa, hapo mkopo lazma ulambe bro
 
wadau o level nina div ll point 21 civ C,hist C,geog B,kisw C,engl B,math,chem,biol zote ni D.A level gs S,hist D,geogr C na engl D.kwenye diploma gs C,hist teach metho B,geogr teac metho A,edu psyc g &c B,edu researc measur & eval B,found of edu A,curric & teach A.nataka kuomba mkopo tcu nisome digrii ya elimu vipi ntafanikiwa?

Hapo umeula omba kaka
 
Education lazima upewe mkopo ndugu wala usiwaze kitu..jombaa..
 
Mkuu lyamber nashukuru sana kwa maoni yako na wote waliyochangia,Mungu akipenda nikapata chuo nitarudi kuwataarifu.,na muda wenyewe si ndio huu?asante mkuu.
 
Back
Top Bottom