Je nitashika ujauzito kweli?

Je nitashika ujauzito kweli?

Ukihesabu kwanzia tarehe ulioona siku zako na tarehe aliokutana na mpnz wako unajukuta unaangukia siku ya 14 ambayo ni siku muafaka kabisa ww kushika ujauzito kwa hiyo kuwa na amani hiyo ni kitu mubashara kbs.
 
Kama ulitumia kondom, jua mimba ndo ishaingia hivyo. Utakuwa umesevu ukimwi tu lakini mimba iko palepale...

BTW... alikufikisha kileleni? Alikojoa mara ngapi??

Nataka nikusaidie kukalkuleti speed ya sperms ili nijue kama itakuwa mimba ya baamedi mtarajiwa au jambazi ajaye...
[emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji125] [emoji125]
 
Kwa namna ulivoniambia, unabii wangu umenielekeza hivyo. Jihadhari usiwe unachuchumaa mara kwa mara, katoto kasije kakachoropoka kabla ya muda...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ukihesabu kwanzia tarehe ulioona siku zako na tarehe aliokutana na mpnz wako unajukuta unaangukia siku ya 14 ambayo ni siku muafaka kabisa ww kushika ujauzito kwa hiyo kuwa na amani hiyo ni kitu mubashara kbs.
wote mmekosa unless mleta mada atuambie mzunguko wake ni wa siku ngap ndo tujue imo au haimo. kama mzunguko ni siku 28 imo
 
Kama ulitumia kondom, jua mimba ndo ishaingia hivyo. Utakuwa umesevu ukimwi tu lakini mimba iko palepale...

BTW... alikufikisha kileleni? Alikojoa mara ngapi??

Nataka nikusaidie kukalkuleti speed ya sperms ili nijue kama itakuwa mimba ya baamedi mtarajiwa au jambazi ajaye...
deep
 
Nilianza period tarehe 4 mwezi huu nikamaliza tarehe 6. Mpenzi wangu akaja tarehe 16 tunasex na kesho anaondoka.

Najiuliza nitapata mimba kweli? Natamani mtoto jamani.
UNAWEZA SHIKA MKUU
 
hivi mimba inapatika tarehe 16!!!!? 😱😱😱 mimi nilikuwa sijui..
Dah.... Hata mimi nashangaa.... Kwanini isiwe kuanzia 28 hivi ili Angalau hata wale waajiriwa wawe vizuri kidogo kimfuko? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ooooh hapo ni kitu na box mkuu mjiandae kulea
 
Wanaume tunamajaribu, yaani mtu hapo kategeshewa hata hajui. Na kinacholengwa ukute ni ndoa
 
Back
Top Bottom