Endo agar JF-Expert Member Joined Sep 26, 2014 Posts 487 Reaction score 334 Feb 22, 2015 #1 Habari wakuu, Nimehitimu diploma ya water laboratory technology, lakini na mpango wa kusoma degree ya medical laboratory science, nifanye nini wana JF au nisomee nini tena ili niruhusiwe chukua io degree?
Habari wakuu, Nimehitimu diploma ya water laboratory technology, lakini na mpango wa kusoma degree ya medical laboratory science, nifanye nini wana JF au nisomee nini tena ili niruhusiwe chukua io degree?
geniusbaraka JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 795 Reaction score 155 Feb 22, 2015 #2 Engineering kwenda medical wap na wap! Kama unataka anzana So then endelea.
Endo agar JF-Expert Member Joined Sep 26, 2014 Posts 487 Reaction score 334 Feb 23, 2015 Thread starter #3 pouwa mkuu,nilitaka jaribu kuapply mwaka huu io degree
Mkudisingo JF-Expert Member Joined Mar 26, 2014 Posts 421 Reaction score 122 Feb 23, 2015 #4 Omba diploma tu uanze hiyo lab tech.