Je! Nitaweza kusoma degree afya kwa Diploma hii?

Je! Nitaweza kusoma degree afya kwa Diploma hii?

Endo agar

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
487
Reaction score
334
Habari wakuu,

Nimehitimu diploma ya water laboratory technology, lakini na mpango wa kusoma degree ya medical laboratory science, nifanye nini wana JF au nisomee nini tena ili niruhusiwe chukua io degree?
 
Engineering kwenda medical wap na wap!

Kama unataka anzana

So then endelea.
 
pouwa mkuu,nilitaka jaribu kuapply mwaka huu io degree
 
Back
Top Bottom