Je! nitaweza kusoma MSc. in Structural Engineering

Je! nitaweza kusoma MSc. in Structural Engineering

von Neumann

Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
29
Reaction score
6
Habari zenu wakuu.. Nahitaji nmsaada kuhusu hili:

Eti kwa mfano mtu first degree umesoma Bachelor of Science in Telecommunication Engineering je kuna uwezekano wa mtu huyu postgraduate kusoma Masters of Science in Structural Engineering au Highway Engineering katika chuo chochote.

Naomba msaada wenu coz kuna malumbano yanaendelea hapa kwa muda mrefu.
NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom