Je, nitumie dili niliyopewa ukweni hata kama wife ananitambia?

Wakuu mimi ni mume ambaye tumezaa mtoto mmoja na mke wangu ndoa yetu ina miaka zaidi ya mi4 mpaka sasa.

Ukweni kwangu yaani familia ya wife imekuwa ikinisaidia saana ILA TATIZO WIFE SASA HUWA ANATAMBA SANA KWAMBA MIMI NASAIDIWA NA FAMILIA YAKE.
WIFE AMEKUWA AKIYASEMA HAYO HATA WAKIJA MARAFIKI ZANGU NA NDUGU ZANGU NYUMBANI BASI ANAWAAMBIA HIVYO.
UTASIKIA LILE SHAMBA KAPEWA NA BABA YANGU KASAIDIWA SANA.

Juzi juzi walinipa connection ya eneo zuri la biashara na fremu pale kariakoo kitu bacho bila wao nisingeweza kupata,ila wife yatari keshamwambia mdogo wangu wa KIKE KWAMBA NIMESAIDIWA KITU FULANI.

Binafsi huwa sipendi hii tabia.

SASA HAPA KARIBUNI KUNA FURSA YA KWENDA KUSOMA UTURUKI CHUO FULANI AMBACHO WANAKUFUND NA UNALIPWA UKIENDA KUSOMA,NA HIYO FURSA IMETOKA UKWENI.

JE NIIKUBALI HII FURSA WAKUU AMA NIIKATAE KUTOKANA NA WIFE NA KUJIGAMBA KWAMBA WANANISAIDIA SANA ?
Mimi naona huyu mke hakufai. Hapa duniani watu ni kusaidiana, je ingekuwa wewe ndiyo unaisadia familia yake angekuwa anatangaza. Mpe ukweli mke wako ili asikuaibishe. Kama umepata fursa huu ni wakati wa kujiendeleza ili ukirudi ujikwamue na manyanyaso!
 
Wakuu mimi ni mume ambaye tumezaa mtoto mmoja na mke wangu ndoa yetu ina miaka zaidi ya mi4 mpaka sasa.

Ukweni kwangu yaani familia ya wife imekuwa ikinisaidia saana ILA TATIZO WIFE SASA HUWA ANATAMBA SANA KWAMBA MIMI NASAIDIWA NA FAMILIA YAKE.
WIFE AMEKUWA AKIYASEMA HAYO HATA WAKIJA MARAFIKI ZANGU NA NDUGU ZANGU NYUMBANI BASI ANAWAAMBIA HIVYO.
UTASIKIA LILE SHAMBA KAPEWA NA BABA YANGU KASAIDIWA SANA.

Juzi juzi walinipa connection ya eneo zuri la biashara na fremu pale kariakoo kitu bacho bila wao nisingeweza kupata,ila wife yatari keshamwambia mdogo wangu wa KIKE KWAMBA NIMESAIDIWA KITU FULANI.

Binafsi huwa sipendi hii tabia.

SASA HAPA KARIBUNI KUNA FURSA YA KWENDA KUSOMA UTURUKI CHUO FULANI AMBACHO WANAKUFUND NA UNALIPWA UKIENDA KUSOMA,NA HIYO FURSA IMETOKA UKWENI.

JE NIIKUBALI HII FURSA WAKUU AMA NIIKATAE KUTOKANA NA WIFE NA KUJIGAMBA KWAMBA WANANISAIDIA SANA ?
Wewe kamatia fursa kalagha bao 😊
 
Lelulelu,
Huyo mkeo ndiyo anafaa, kongole kwa kupata mke bora anakuaminia mtaji hutautapanya na ndiyo maana anatamba na hiyo siyo kitu kibaya.

Jamii za wahindi, waarabu, wayahudi, wangazija n.k familia zao zinaendelea kiuchumi kwa kusaidiana namna hiyo

Achana na mambo ya waswahili, wakwe wamekuamini kuwa unaweza na hivyo wameamua kuku boost kiuchumi nawe usisahau kusaidia ukiona mmoja wa wanafamilia au ukoo ana dalili za kufanya vizuri akipewa mtaji.

Usiwaangushe familia kwa kukuamini unaweza.
Ushauri Ni mzur
 
Wakuu mimi ni mume ambaye tumezaa mtoto mmoja na mke wangu ndoa yetu ina miaka zaidi ya mi4 mpaka sasa.

Ukweni kwangu yaani familia ya wife imekuwa ikinisaidia saana ILA TATIZO WIFE SASA HUWA ANATAMBA SANA KWAMBA MIMI NASAIDIWA NA FAMILIA YAKE.
WIFE AMEKUWA AKIYASEMA HAYO HATA WAKIJA MARAFIKI ZANGU NA NDUGU ZANGU NYUMBANI BASI ANAWAAMBIA HIVYO.
UTASIKIA LILE SHAMBA KAPEWA NA BABA YANGU KASAIDIWA SANA.

Juzi juzi walinipa connection ya eneo zuri la biashara na fremu pale kariakoo kitu bacho bila wao nisingeweza kupata,ila wife yatari keshamwambia mdogo wangu wa KIKE KWAMBA NIMESAIDIWA KITU FULANI.

Binafsi huwa sipendi hii tabia.

SASA HAPA KARIBUNI KUNA FURSA YA KWENDA KUSOMA UTURUKI CHUO FULANI AMBACHO WANAKUFUND NA UNALIPWA UKIENDA KUSOMA,NA HIYO FURSA IMETOKA UKWENI.

JE NIIKUBALI HII FURSA WAKUU AMA NIIKATAE KUTOKANA NA WIFE NA KUJIGAMBA KWAMBA WANANISAIDIA SANA ?
Mnapataga wapi ujasiri wa kutangaza matakataka yenu humu? Umenikumbusha jamaa yetu mmoja walimkamata ugoni mke wake red handed, sasa ikabidi jamaa alipwe. Akaenda kununua baiskeli Phoenix, kila akiitumia kimwanamke kinamtambia, heeee! Unaendesha baiskeli ya mapaja yangu! Bila mapaja yangu ungeipata wapi? Na wewe subiri uje ugongewe ndiyo utalijua jiji! Binti hana busara huyo!
 
Waombe wakupe connection ya ajira ya Kudumu serikalini.uwe na uhakika wa maisha yako.
 
Nenda Uturuki na utafute demu uoe uachane na huyo mkeo mpenda sifa kama Mwijaku.
 
Wakuu mimi ni mume ambaye tumezaa mtoto mmoja na mke wangu ndoa yetu ina miaka zaidi ya mi4 mpaka sasa.

Ukweni kwangu yaani familia ya wife imekuwa ikinisaidia saana ILA TATIZO WIFE SASA HUWA ANATAMBA SANA KWAMBA MIMI NASAIDIWA NA FAMILIA YAKE.
WIFE AMEKUWA AKIYASEMA HAYO HATA WAKIJA MARAFIKI ZANGU NA NDUGU ZANGU NYUMBANI BASI ANAWAAMBIA HIVYO.
UTASIKIA LILE SHAMBA KAPEWA NA BABA YANGU KASAIDIWA SANA.

Juzi juzi walinipa connection ya eneo zuri la biashara na fremu pale kariakoo kitu bacho bila wao nisingeweza kupata,ila wife yatari keshamwambia mdogo wangu wa KIKE KWAMBA NIMESAIDIWA KITU FULANI.

Binafsi huwa sipendi hii tabia.

SASA HAPA KARIBUNI KUNA FURSA YA KWENDA KUSOMA UTURUKI CHUO FULANI AMBACHO WANAKUFUND NA UNALIPWA UKIENDA KUSOMA,NA HIYO FURSA IMETOKA UKWENI.

JE NIIKUBALI HII FURSA WAKUU AMA NIIKATAE KUTOKANA NA WIFE NA KUJIGAMBA KWAMBA WANANISAIDIA SANA ?
marehem alipenda kitonga sana😇😷🤕
 
Achana nayo mkuu ili umkomoe mke wako na hata misaada kutoka kwao unatakiwa kuachana nayo kabisa ili umkomoe mke wako
 
Mkuu mkeo anakupenda sana. Ndio maana anakupamba kwao ili wakusaidie.

Wewe umepatia kuoa
 
Huyo wife ana kimbelembele balaa. Ongea nae mwambie hupendi hiyo tabia. Fursa usiache nenda. Atatangaza obviously ila wewe cha muhimu umerudi na ujuzi
Dah kweli bora kumchana hukj nikiishikilia hiyo fursa vyema kabisa ase
 
Sasa ukienda Uturuki hiyo frame ya Kariakoo itakuwaje.
Kuna ndigu yangu nafanya nae mishemishe kitambo hajawahi zingua so yeye atasimamia mchongo mzima
 
We tumia hyo fursa utoke kimaisha,hacha umaskini jeuri.Cku hz hata ndugu yako akikusaidia atabrag tu,so mkeo kusema wamekusaidia inakuuma nn wakati ni kweli wamekusaidia.
Daa hili nalo neno kwa maana kwamba kutoka kwangu kimaisha ni jambo muhimu hata kama wananisema
 
Back
Top Bottom