Je, nitumie dili niliyopewa ukweni hata kama wife ananitambia?

Mimi naona huyu mke hakufai. Hapa duniani watu ni kusaidiana, je ingekuwa wewe ndiyo unaisadia familia yake angekuwa anatangaza. Mpe ukweli mke wako ili asikuaibishe. Kama umepata fursa huu ni wakati wa kujiendeleza ili ukirudi ujikwamue na manyanyaso!
 
Wewe kamatia fursa kalagha bao 😊
 
Ushauri Ni mzur
 
Miaka zaidi ya minne Mtoto mmoja kwani huyo Dada Ako?
 
Mnapataga wapi ujasiri wa kutangaza matakataka yenu humu? Umenikumbusha jamaa yetu mmoja walimkamata ugoni mke wake red handed, sasa ikabidi jamaa alipwe. Akaenda kununua baiskeli Phoenix, kila akiitumia kimwanamke kinamtambia, heeee! Unaendesha baiskeli ya mapaja yangu! Bila mapaja yangu ungeipata wapi? Na wewe subiri uje ugongewe ndiyo utalijua jiji! Binti hana busara huyo!
 
Waombe wakupe connection ya ajira ya Kudumu serikalini.uwe na uhakika wa maisha yako.
 
Nenda Uturuki na utafute demu uoe uachane na huyo mkeo mpenda sifa kama Mwijaku.
 
marehem alipenda kitonga sana😇😷🤕
 
Achana nayo mkuu ili umkomoe mke wako na hata misaada kutoka kwao unatakiwa kuachana nayo kabisa ili umkomoe mke wako
 
Mkuu mkeo anakupenda sana. Ndio maana anakupamba kwao ili wakusaidie.

Wewe umepatia kuoa
 
Huyo wife ana kimbelembele balaa. Ongea nae mwambie hupendi hiyo tabia. Fursa usiache nenda. Atatangaza obviously ila wewe cha muhimu umerudi na ujuzi
Dah kweli bora kumchana hukj nikiishikilia hiyo fursa vyema kabisa ase
 
Sasa ukienda Uturuki hiyo frame ya Kariakoo itakuwaje.
Kuna ndigu yangu nafanya nae mishemishe kitambo hajawahi zingua so yeye atasimamia mchongo mzima
 
We tumia hyo fursa utoke kimaisha,hacha umaskini jeuri.Cku hz hata ndugu yako akikusaidia atabrag tu,so mkeo kusema wamekusaidia inakuuma nn wakati ni kweli wamekusaidia.
Daa hili nalo neno kwa maana kwamba kutoka kwangu kimaisha ni jambo muhimu hata kama wananisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…