Je, nitumie dili niliyopewa ukweni hata kama wife ananitambia?


Hutaki ukweli?

Ukiona hivyo ujue wewe husemi na kumsifia mkeo jinsi yeye na kwao walivyo na mchango katika maisha yako.
 
Hutaki ukweli?

Ukiona hivyo ujue wewe husemi na kumsifia mkeo jinsi yeye na kwao walivyo na mchango katika maisha yako.
Hapana nataka kwenda ila sasa mimi naogopa masemamngo kaka mkuubwa.
Ukiona hivyo ujue wewe husemi na kumsifia mkeo jinsi yeye na kwao walivyo na mchango katika maisha yako.
Nasema na inaeleweka pale wanaponisaidia huwa na appreciate vizuri tu na hata ndugu zangu huwa nawambia vizuri
 
Wakati mwingine laana au baraka ni mtu mwenyewe anajitakia...
 
Naona my wife wako,fridge lake haligandishi( hajui kutunza siri).Anyway mvumilie na kumpa ukweli wake yale anayokukwaza,ila usiache hiyo mipango kufanya kwani faida ni yenu japo yeye kifua chake ni kama chujio la nazi.
 
Nenda zako kasome! Ila ukirudi wakwe zako wakutegemee wewe ng'ombe weee
 
Jifanye mjinga maisha yaendelee, ila usitegemee msaada maisha yako yote.
 
Kwani uongo
Kwani uongo si unasaidiwa kweli?
Huyo mkeo piga makofi mawili akili itarejea eneo lake
 
Chukua fursa, itumie ikufaidishe. Ni kweli msaada sio matangazo ila si ulikubali mkawe mwili mmoja na mpendane kwa shida na raha. Haya shida hizo apo pambana nazo kiakili.
 
Kwani Wife si anakwambia Ukweli?
Kubaliana na hilo bila kuona aibu! Nenda Uturuki ukasome,huenda ukitoka huko ikawa ni mlango wa kupata fursa nyingine itakayokutoa hapo!
Hao ndugu wa mkeo wana roho nzuri sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…