Nimekuwa nikifuwatilia kwa ukaribu sana matamko ya Marais na ufuwatiliaji wa mambo nakuja na hii mada kuuliza kama taifa kwanini isitungwe sheria itakayo mlazim Rais akiteuliwa lazima apate ilimu ya mambo yakiusalama ili imsaidie ktk kung'amua mambo.
Unajuwa tuache masihara yapo matamko Rais anayatoa ila ukiangalia kwa undani unakuta hayo matamko hayakupaswa kutoka ktk kinywa cha rais why kwasababu yanahitaji taasisi yake kupitia idara nyeti za nchi yafanyiwe kazi yachujwe na ndipo either ayaongee au yafanyiwe kazi bila kuongelewa.
Mfano mimi nitawaambia hili moja hii issue ya covid 19 ni issue imekaa kijasusi zaidi kuliko kelele za Wanasiasa tunazozisikia. Mataifa makubwa na mataifa yenye agency ambazo zipo vizuri wamecheza na huu ugonjwa mpaka tunaongea huwezi kujuwa nini kimetokea kwao.
Sisi tumefanya tofauti na kiukweli tumejiweka kwenye mitego isio na maana kabisa kwanini nasema hivyo unajuwa mambo ya dini ni tofauti na mambo ya serikali. Pili mambo ya jadi au mitishamba ni tofauti na miongozo ya afya ya kidunia. Mitishamba na dawa asili ni mambo yapo duniani kote ila ni second difference katika mashirika ya afya baada ya dawa zao kushindwa.
Sasa sisi taasisi nyeti kabisa ya Rais wamesimama pamoja na serikali kutaka watu wasali na kisha wapige nyungu. Wapo sawa kabisa ila ktk miongozo ya afya yakidunia wanatushangaa nakutuona taifa hili kuna shida nakupata hofu kuliko hofu walikuwa nayo hapo mwanzo. Haya yanatokea kiukweli kabisa ukiyaangalia unajuwa kunashida ktk maswala ya usalama eneo la diplomasia.
Kiongoz akiwa na elimu ya usalama na mambo ya diplomatic sii rahisi kutoka mbele ya camera nakuutangazia ulimwengu tumeshinda covid 19 kwa sala na nyungu why ? Serikali zote duniani hazina dini ila dini wanazo wana nchi wao yani hata Vatican na Saudia kwenye vitovu vya dini wana tushangaa.
Sio kila jambo lapaswa kuzungumza mbele ya camera wala sio kila jambo linapaswa kutolewa maamuzi mbele ya kamera. Maana mbeleni una acha ushahidi usio kuwa na sababu na kuleta migongano isio ya lazima.
Mfano sisemi itokee hivyo ila kitokana na dunia kuwa advance in teachnology kinaweza ibuka kikundi cha watu smart waka kusanya data kwenye kila familia iliokuwa na matatizo ya watu kupumua wakachukua sample za waliokufa wakazipeleka maabara zao na wakapata ushahidi walikufa kwa covid 19 ujuwe serikali italipa trilion of money as compassation kwa wafiwa picha na video za viongoz wakipinga hakuna covid 19 Tz zitawekwa nawaambia ita kuwa bad day.
Nimalizie kwa kusema elimu ya usalama kwa viongozi wakuu wakitaifa ni ya muhimu sasa kwa ustawi wa Taifa hili.