Je, njia za treni zinanasa magari kwa sumaku?

Je, njia za treni zinanasa magari kwa sumaku?

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
439
Reaction score
736
UKWELI KUHUSU MAGARI KUNASA KWENYE NJIA ZA TRENI.jpg


Watu wengi wamekuwa wakihoji swala Magari kunasa katika njia ya Treni, na Madereva Kuyatelekeza Magari yao na kukimbia.

Sumaku ya Treni Haiwezi kusababisha gari kukwama Katika Njia ya treni, Kwasababu hakuna Nguvu ya Sumaku inayoweza Zima, Nasa gari isipokuwa SumakuUmeme(Electromagnetic) ya Nyuklia ambayo inafahamika kama EMP(Electromagnetic Pulse).

Ila sababu zinazoweza kusababisha ni kama ifuatavyo:
Sababu ya kawaida ya magari kukwama kwenye njia za treni ni hitilafu ya madereva au uzembe. Inaweza kujumuisha kutozingatia ishara za onyo ya njia ya Treni.

Kukadiria vibaya umbali wa treni inayokuja unapopita kwenye njia ya Treni kunaweza kusababisha magari kukwama kwa urahisi kwenye njia za treni, dereva kupigwa butwaa.
 
Back
Top Bottom