Je, Noah hakuwakusanya Wanyama kwenye Safina wakati wa gharika bali Enki ndiye aliyemkusanyia DNA za wanyama hao?

Ni vizuri kusoma vitabu vingi ila cha muhimu ni kuwa makini na unachokisoma kisikupotoshe
 
Ni vizuri kusoma vitabu vingi ila cha muhimu ni kuwa makini na unachokisoma kisikupotoshe
Kama ulikuwa mdadisi wakati unasoma jiografia sekondari hata A-Level (Physical Geography) na pia kama Wewe ni mkristo mzuri unayesoma Biblia, kuna vitu vikubwa sana havijafafanuliwa na usipokuwa makini utabaki boya.
Imechukua miaka mingi mpaka miaka ya 1970s, ndipo Makanisa (Dini) yalipoanza kukubaliana na Sayansi kuwa uumbaji wa Mungu wa Dunia na vilivyomo, haukumaanisha siku moja ya masaa 24 kwa sababu kuna vitu vingi vimetumia mamilioni ya miaka kutengenezwa. Mfano: inahitaji miaka zaidi ya milioni 60 kwa viumbe hai (bacteria) kutengeneza mafuta na gesi. Vilevile inahitaji zaidi ya miaka milioni 200 ili mimea kutengeneza makaa ya mawe. Hata hivyo kwa kutumia Biblia, umri wa Dunia na Adamu tangu kuumbwa kwake hadi leo hii, itakuwa imepita wastani wa miaka 6000 pekee.
Sasa hapo ndio utumie kichwa kufikiria masuala haya.
Uking'ang'ania hayo ya Vitabu vitakatifu, hutaelewa kamwe human evolution na kila kitu kinachohusu, Jiografia, Biolojia, etc, etc, etc,....


 
Ukuu angali mavitabu mengine yana mikosi mikosi,eti mungu Mani kazaa na mwanadamu,Punda mwenyewe hawezi kuzaa na mwanadamu iweje miungu?

Braza jifunze kufikir mantik ya mada kisha oanisha na mifano yako kish ndio u type bro, tafadhali
 
Ukuu angali mavitabu mengine yana mikosi mikosi,eti mungu Mani kazaa na mwanadamu,Punda mwenyewe hawezi kuzaa na mwanadamu iweje miungu?
Mbona Mungu aliweza kupandikiza mimba kwa Maria?? Mbona kuna kesi nyingi tu za majini kuwapa mimba wanadamu?? Mtoa mada kaja na nadharia ni vizuri tukapinga kwa hoja sio kejeli labda wwe ungetusaidia kwanini unaamini hii story ni uongo embu tuanzie hapo
 
Ujinga mtupu.... Kasome biblia acha kuamin upuuzi !!!
Hapa si suala la kuamini, bali ni suala la kujumlisha dots ili kupata fact. Kama unakuta mtu yuko Chuo Kikuu anasoma Political Science & History but still hakubaliani na Evolution Theory na hata anaipinga Carbon 14, mtu wa namna hiyo utamsaidiaje sasa? Yeye amekariri maandiko ya Vitabu vitakatifu ndiyo kichwani ni empty. Bahati mbaya hata wengi wetu humu tunalazimisha Historia ya Vitabu vitakatifu ituongoze katika kuchambua mambo ya kielimu badala ya Sayansi ikuongoze.
 
Hicho kitabu kinachoitwa TABLETS nakiomba mkuu, itakuwa kina madini ya kutosha. Kuongeza maarifa ni jambo jema kuliko kusoma kitabu kimoja tu na kupayuka.
 
Hicho kitabu kinachoitwa TABLETS nakiomba mkuu, itakuwa kina madini ya kutosha. Kuongeza maarifa ni jambo jema kuliko kusoma kitabu kimoja tu na kupayuka.
Nakushukuru sana ndugu kwa moyo wa kutaka kufahamu yaliyomo. Mimi nimesomea Siasa but nimesoma vyema Historia pia UDSM lakini changamoto tuliyokutana nayo ni kutokuwepo kwa ushahidi wa wapi Sumer walitokea. Bahati mbaya, Wataalamu wa Historia wameshindwa kwa miaka mingi kutengua kitendawili cha yaliyoandikwa kwenye hizo tablets.
Huyo Mtaalamu alitafasiri hizo tablets mwaka 1970s but officially bado haijatambulika na umma wa Dunia kwa kuwa, masuala yaliyoandikwa kwenye hizo tablets yana-confuse mno tena sana kwa watu kutokana na kwamba wanadamu wengi wanalazimisha kuielewa Dunia kwa mitazamo ya kidini pekee.
 
Hiki kina picha au hakina michoro
 
[emoji419]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…