Je, Noah hakuwakusanya Wanyama kwenye Safina wakati wa gharika bali Enki ndiye aliyemkusanyia DNA za wanyama hao?

Je, Noah hakuwakusanya Wanyama kwenye Safina wakati wa gharika bali Enki ndiye aliyemkusanyia DNA za wanyama hao?

Ni vizuri kusoma vitabu vingi ila cha muhimu ni kuwa makini na unachokisoma kisikupotoshe
 
Ni vizuri kusoma vitabu vingi ila cha muhimu ni kuwa makini na unachokisoma kisikupotoshe
Kama ulikuwa mdadisi wakati unasoma jiografia sekondari hata A-Level (Physical Geography) na pia kama Wewe ni mkristo mzuri unayesoma Biblia, kuna vitu vikubwa sana havijafafanuliwa na usipokuwa makini utabaki boya.
Imechukua miaka mingi mpaka miaka ya 1970s, ndipo Makanisa (Dini) yalipoanza kukubaliana na Sayansi kuwa uumbaji wa Mungu wa Dunia na vilivyomo, haukumaanisha siku moja ya masaa 24 kwa sababu kuna vitu vingi vimetumia mamilioni ya miaka kutengenezwa. Mfano: inahitaji miaka zaidi ya milioni 60 kwa viumbe hai (bacteria) kutengeneza mafuta na gesi. Vilevile inahitaji zaidi ya miaka milioni 200 ili mimea kutengeneza makaa ya mawe. Hata hivyo kwa kutumia Biblia, umri wa Dunia na Adamu tangu kuumbwa kwake hadi leo hii, itakuwa imepita wastani wa miaka 6000 pekee.
Sasa hapo ndio utumie kichwa kufikiria masuala haya.
Uking'ang'ania hayo ya Vitabu vitakatifu, hutaelewa kamwe human evolution na kila kitu kinachohusu, Jiografia, Biolojia, etc, etc, etc,....


IMG_5686.JPG
 
Ukuu angali mavitabu mengine yana mikosi mikosi,eti mungu Mani kazaa na mwanadamu,Punda mwenyewe hawezi kuzaa na mwanadamu iweje miungu?

Braza jifunze kufikir mantik ya mada kisha oanisha na mifano yako kish ndio u type bro, tafadhali
 
Ukuu angali mavitabu mengine yana mikosi mikosi,eti mungu Mani kazaa na mwanadamu,Punda mwenyewe hawezi kuzaa na mwanadamu iweje miungu?
Mbona Mungu aliweza kupandikiza mimba kwa Maria?? Mbona kuna kesi nyingi tu za majini kuwapa mimba wanadamu?? Mtoa mada kaja na nadharia ni vizuri tukapinga kwa hoja sio kejeli labda wwe ungetusaidia kwanini unaamini hii story ni uongo embu tuanzie hapo
 
Ujinga mtupu.... Kasome biblia acha kuamin upuuzi !!!
Hapa si suala la kuamini, bali ni suala la kujumlisha dots ili kupata fact. Kama unakuta mtu yuko Chuo Kikuu anasoma Political Science & History but still hakubaliani na Evolution Theory na hata anaipinga Carbon 14, mtu wa namna hiyo utamsaidiaje sasa? Yeye amekariri maandiko ya Vitabu vitakatifu ndiyo kichwani ni empty. Bahati mbaya hata wengi wetu humu tunalazimisha Historia ya Vitabu vitakatifu ituongoze katika kuchambua mambo ya kielimu badala ya Sayansi ikuongoze.
 
Hicho kitabu kinachoitwa TABLETS nakiomba mkuu, itakuwa kina madini ya kutosha. Kuongeza maarifa ni jambo jema kuliko kusoma kitabu kimoja tu na kupayuka.
 
Hicho kitabu kinachoitwa TABLETS nakiomba mkuu, itakuwa kina madini ya kutosha. Kuongeza maarifa ni jambo jema kuliko kusoma kitabu kimoja tu na kupayuka.
Nakushukuru sana ndugu kwa moyo wa kutaka kufahamu yaliyomo. Mimi nimesomea Siasa but nimesoma vyema Historia pia UDSM lakini changamoto tuliyokutana nayo ni kutokuwepo kwa ushahidi wa wapi Sumer walitokea. Bahati mbaya, Wataalamu wa Historia wameshindwa kwa miaka mingi kutengua kitendawili cha yaliyoandikwa kwenye hizo tablets.
Huyo Mtaalamu alitafasiri hizo tablets mwaka 1970s but officially bado haijatambulika na umma wa Dunia kwa kuwa, masuala yaliyoandikwa kwenye hizo tablets yana-confuse mno tena sana kwa watu kutokana na kwamba wanadamu wengi wanalazimisha kuielewa Dunia kwa mitazamo ya kidini pekee.
 
Kupitia Utafiti wa Zecharia Sitchin mwaka 1976 "The Earth Chronicles" juu ya maandishi ya 14 tablets yaliyoandikwa na Mfalme wa Sumeria (Mesopotamia), Enki (miungu ya Annunaki); unaonyesha kuwa, baada ya miungu ya Annunaki waliotoka Sayari ya Nibiru kuzaa na wanadamu waliowaumba purposely kuchimba dhahabu ya kuijenga Nibiru, ilipelekea ongezeko kubwa la wanadamu kuliko idadi ya miungu ya Annunaki iliyohamia duniani, hali iliyowaudhi Annunaki na hivyo Mfalme wao aishie Nibiru, Ani aliamuru kuletwa gharika ili kufutilia mbali uso wa wanadamu na Annunaki waliotamani kubaki duniani.
Hata hivyo, Enki, Ali muamuru kwa siri Noah atengeneze Safina kwa kuwa, gharika ilikuwa njiani. Enki alimuandalia DNAs za wanyama na viumbe wote ndani ya kibox na kumpelekea Noah. Gharika ilipokuja iliteketeza viumbe karibia vyote (but siyo vyote) duniani. Baada ya gharika Kamanda wa Duniani alikasirika sana hadi kutaka kumuua Enki, alipogundua kuwa Enki ndiye aliyeokoa uzao wa mwanadamu (Noah) usiangamie kwa gharika. Hata hivyo alieleweshwa na Enki so akaridhia.

View attachment 821765
Hiki kina picha au hakina michoro
 
Je, mchawi anaingiaje ndani ya nyumba wakati umefunga mlango? Hapa Dar es Salaam inadaiwa licha ya joto lililopo ni kosa kubwa kwa mwanamke kulala uchi. In fact hata mwanaume naye hatakiwi kulala uchi, Y?
Uwezo wetu wanadamu wa kufikiri unapoishia, ndipo ukweli wa jambo hilo pia unapoishia although the reality of it is not affected by our intuition coz reality is always free of our merely imaginations.
So, jambo ambalo leo hii ni uongo kesho linaweza kuwa kweli kwa malimwengu. Hata hivyo, mawazo haya complex huwa yanaanzishwa na vichwa ngumu na ma-genius tu na sometimes huchukua muda watu kukubaliana na ukweli.
Wakati Theory za Geography kama: Continental Drift, Isostacy na Plate Tectonic, zinaanza kuongelewa Karne za nyuma zilipingwa sana mpaka zilipokubaliwa hasa Karne ya 20. Fikiria wazo la Dunia kuizunguka Jua lilikataliwa na Viongozi wa Dini walikuwa wakidai sisi wanadamu Mungu ametuumba na kutupa mwanga wa kutuangazia kwa hiyo Mwezi, Jua na Nyota, vinamtumika mwanadamu. Leo hii ukifuatilia ukubwa wa Milk Way Galaxy ambamo ndo Solar System yetu ilimo, kamwe huwezi ukadai tena we are all alone in the Universe. Ajabu ni kuwa licha ya Galaxy yetu hiyo kuwa na mabilioni ya Nyota (jua), bado hiyo Galaxy ni ndogo kwa Universe kuliko hata tone la maji ndani ya maji yote ya bahari duniani, kwani Universe ina matilioni ya Galaxies (nimesema galaxies, sijasema nyota hapo, wala sijagusia sayari kama zetu) - think, think, think... Probably we are not alone... period!!!
[emoji419]
 
Back
Top Bottom